malisoka JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,860 Reaction score 2,639 Nov 21, 2017 #1 Rihanna akiwa katika mavazi yake. Dada zetu Mkiiga haya hakika tutachukua bakora na kuwatandika mabarabarani. Hakuna haki kama hii Tanzania.
Rihanna akiwa katika mavazi yake. Dada zetu Mkiiga haya hakika tutachukua bakora na kuwatandika mabarabarani. Hakuna haki kama hii Tanzania.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,383 Reaction score 9,216 Nov 21, 2017 #3 Lakini sidhani kama huyo Rihanna yupo barabarani hapo.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,509 Reaction score 45,123 Nov 21, 2017 #4 vazi hili litaanzia kumbi za starehe mdogo mdogo hadi mtaani
malisoka JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,860 Reaction score 2,639 Nov 21, 2017 Thread starter #5 kijani11 said: Lakini sidhani kama huyo Rihanna yupo barabarani hapo. Click to expand... wanawake wetu hawana akili hiyo Yeye Rihanna yupo kwenye show na wakati huo huo yupo kwenye matangazo ya hayo mavazi. lakini utashangaa hawa wanawake wetu wa Bongo watakuja kutuvalia makanisani!
kijani11 said: Lakini sidhani kama huyo Rihanna yupo barabarani hapo. Click to expand... wanawake wetu hawana akili hiyo Yeye Rihanna yupo kwenye show na wakati huo huo yupo kwenye matangazo ya hayo mavazi. lakini utashangaa hawa wanawake wetu wa Bongo watakuja kutuvalia makanisani!
lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,387 Nov 21, 2017 #6 Walembo-warembo, Shule nzuri jamani.
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,805 Reaction score 17,917 Nov 21, 2017 #7 Walembo wataiga. Ila warembo hawataiga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anakuja Yesu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 563 Reaction score 485 Nov 21, 2017 #8 Watakuja warembo wapate mpya
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,084 Nov 21, 2017 #9 huhu mwanamke 'ulembo' sipatii picha avae mtu na shape nzur !atapendeza kuliko rir
Z ZEE LA HEKIMA JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,422 Reaction score 1,851 Nov 21, 2017 #10 Hapo anauza nini?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,795 Reaction score 1,251,542 Nov 21, 2017 #11 Mbona gigy money analivaaga vazi la hivyo majukwaan
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,673 Reaction score 167,735 Nov 21, 2017 #12 Ushawatandika wangapi mpaka sasa???
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,673 Reaction score 167,735 Nov 21, 2017 #13 Numbisa said: Mbona gigy money analivaaga vazi la hivyo majukwaan Click to expand... Vee money, amber lulu, queen Darleen
Numbisa said: Mbona gigy money analivaaga vazi la hivyo majukwaan Click to expand... Vee money, amber lulu, queen Darleen
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,785 Reaction score 95,580 Nov 21, 2017 #14 Vanessa mdee akivaa hivyo itapendeza
MBITIYAZA JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 14,947 Reaction score 26,084 Nov 21, 2017 #15 demi said: Vanessa mdee akivaa hivyo itapendeza Click to expand... mia!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,969 Reaction score 194,052 Nov 21, 2017 #16 Hujapita kwenye kumbi za starehe nyakati za usiku... Mbona hapo cha mtoto... Cc: mahondaw
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,383 Reaction score 28,054 Nov 24, 2017 #17 lossoJR said: Walembo-warembo, Shule nzuri jamani. Click to expand... Msukuma
UMASIKINI BWANA JF-Expert Member Joined Oct 17, 2013 Posts 942 Reaction score 567 Nov 28, 2017 #18 U.t.I tupu