Mafuta gani mazuri ya kumpakaa mtoto sehemu ya baridi?

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,091
Wajameni naombeni mnijuze mafuta mazuri ya kumpakaa mtoto wa miez nane na kuendelea sehemu ya baridi,maana olive oil mepes so anapauka parachute nayo hivohivo vaseline yamemgomea yalimtoa rashes.
 
Jamani kwa Mtoto wa miaka 0-1 kigezo cha kwanza cha kumchagulia Mafuta au sabuni ni harufu, wa umri huo hapaswi kutumia vitu vyenye harufu kali ili kumuepusha na allergy za Kudumu ukubwani, hivyo ni Vema kutumia Mafuta ya Nazi, sabuni za Vipande etc unless awe na tatizo la ngozi ama vinginevyo itakavyoshauriwa!
 
Back
Top Bottom