Ongeza mvuto wa nyumba yako kwa taa za kisasa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275

Wadau wa Ujenzi zone blog kuna vitu tunavipuuzia kwa kuhofia gharama au kwa kutokujua.
Kwa mtazamo wangu kama umeweza jenga nyumba ya milion kadhaa basi bado hautashindwa kuipendezesha kwa frem za taa nzuri na za kisasa kama hizi zilizopo pichani.

Gharama za taa hutofautiana kulingana na maeneo utakayoenda kununua na pia kulingana na ukubwa na ubora wake, japo bei huwa sio za kutisha. Mambo ya kuweka tubelight au energy saver bila fremu ya taa ya pembeni tuyaache kwa sasa, nyumba yako ifanye ivutie kwani ndio maisha yako yalipo.

Frem za taa hubadilika kadiri ya mahali zinapotumika, mfano taa za sebuleni, jikoni, gaden, barazani, kwa fence na ukutani huwa zinatofautiana. Kwa maelezo zaidi pitia picha hizi utajionea taa zinavvyotofautiana kadiri ya mahali zinapowekwa.












Ujenzi zone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom