Kuna tatizo gani kwa msichana kutaka kunenepa? Maana naona wengi wananishangaa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,279
Wapendwa mambo zenu
Natumai kila mtu yuko poa

Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda niwe. Mimi napenda kuwa mnene lakini mnene wa kawaida nisishangaze watu na mwili wangu uwe na muelekeo sio nyama zitune tuu bila mpangilio hata nguo zishindwe kunipendezesha jaman.

Ila kinachonishangaza ni kwamba watu wengi wanaonifahamu wananiona kama vile siko sawa kwa kupenda kuwa mnene.

Kwani kuna kosa gani jaman la mtu kutaka kuwa na mwili wenye nyama zilizonona vizuri? Je nakosea kwa kutaka kuongeza mwili wangu.

Na anayejua namna ninavyoweza kufanya ili noingeze mwili wangu anisaidie maarifa maana hili jambo sidhani kama litaweza kuondoka akilini mwangu mpk nilikamilishe.

Nataka kuwa kama huyu

index.jpeg
 
wembamba ni watamu mno kunako shughuli halafu ukute ana uwazi flani hivi katikati ya mapaja kuelekea kunako shughuli..usitake unene kwani raha ya unene ni kuvaa mavazi na kupendeza tu lakini kwenye utamu inakuaga michosho
 
Huyo ni mnene sana miss zomboko kiukweli ladha ya mwanamke wa kibantu ni kuwa na steki ila zisizidi sana na wembamba nao hapana mwili kama huu
c1f778958bb1c35eed68ba8a6152883f.jpg
nadhani ni mwili bomba sio bonge nyanya wala kimbao na uwe umebarikiwa umbo la kiafrica macho yanafurahia mandhari tu

Msaada wa wewe kunenepa ni stress free na kupiga misosi hasa uji unanenepesha haraka sana
 
Hauna shida ila uandae hela ya perfumes,deodorants na Lotions za kutosha usije ukawa unawachafulia hewa watu kwa majasho,generally inatakiwa uwe msafi sana kwani kuna maeneo mengine utakuwa unashindwa kuyafanyia usafi kutokana na either kuwa mvivu au nyama zimekuzidi....
 
Mmh. Usiwasikilize hao. Baki na mwili wako mwaya huo unene wanaotaka uwe, hauna hata faida mwilini labda kwenye macho ya watu tena mpaka uwe na chura ila nje ya hapo unene sio.

Jivunie mwili wako my dear ndio mzuri huo.
 
Aisee nashangaa sana Watu kutwa zima hawapendi unene wew ndo unautaka na kumbuka ukianza kunenepa kupungua ni vigumu mno na kubaki constant pia ni ngumu either uendelee kunenepa n.k na kngne kua mnene ni kujitakia tu magonjwa na shida tu ambazo unaweza kuziepuka,, kwa ushauri tu baki tu na mwili wako ridhika nao UNENE si mzuri kabsa Hata Kama huo wa wastani unaosemea
 
Na Hata Huyo Dada uliempost Huyo Hana unene wa wastani Bali nimenene sana
 
Wapendwa mambo zenu
Natumai kila mtu yuko poa

Jamani mimi nina mwili wa kawaida ila ni mrefu (size kama ya jokate) ambao huwa unapungua ila haujawahi kuongezeka kuwa vile ambavyo mimi napenda niwe. Mimi napenda kuwa mnene lakini mnene wa kawaida nisishangaze watu na mwili wangu uwe na muelekeo sio nyama zitune tuu bila mpangilio hata nguo zishindwe kunipendezesha jaman.

Ila kinachonishangaza ni kwamba watu wengi wanaonifahamu wananiona kama vile siko sawa kwa kupenda kuwa mnene.

Kwani kuna kosa gani jaman la mtu kutaka kuwa na mwili wenye nyama zilizonona vizuri? Je nakosea kwa kutaka kuongeza mwili wangu.

Na anayejua namna ninavyoweza kufanya ili noingeze mwili wangu anisaidie maarifa maana hili jambo sidhani kama litaweza kuondoka akilini mwangu mpk nilikamilishe.

Nataka kuwa kama huyu

View attachment 636275
ninavo penda wanene we acha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom