Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti ninaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, ni mabinti wale wanaojistiri swala tano. Hawa mabinti moja ya...
11 Reactions
72 Replies
15K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza...
2 Reactions
57 Replies
52K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia. Then nikaona niwe navifuta tu...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wakuu, Nisipoteze muda kuna hili swala limetokea pahali kidogo limenishangaza bada ya mzee mmoja kuchachama kwa ukali juu ya tabia ambayo binafsi sijaona kama ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo wanaume tunakosea katika uvaaji wa nguo. Kama unavaa mashati na unachomekea kwenye suruali basi hakikisha rangi ya mkanda wako inaendana na viatu unavyovaa. Vitu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA. Kama leo yupo UGANDA na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
3 Reactions
32 Replies
10K Views
Vipi mdau wa JF, Mwezi huu unajipuliza unyunyu gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Inasemekana kupiga push up 200 kwa Siku ni hatari kwa afya kwani husababisha uti wa mgongo kupinda na kusababisha tatizo linaliotwa kitaalamu 'Kyphosis' na husababisha maumivu ya mgongo na...
6 Reactions
134 Replies
20K Views
Nahitaji kununua set nzima nisije kula hasara naomba kwa aliyewahi tumia anipe mrejesho
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Image credit: Walter photography Did you know, Jessica Nabongo is the first Ugandan woman to travel all the countries in the world? Which brings us to the article influenced by the blogger and...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Jamani mimi nahitaji kujua ipi brand nzuri ambayo inajitahidi kwa kuwa na fulana quality kati ya hizi MANGA na HOTBASE. Mwenye uzoefu nazo anifahamishe zipi zina nafuu au zenye quality nzuri au...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa wale wapenda perfume wenzangu naomba mnisaide kati ya hizi perfume ipi ina halufu nzuri zaidi. Blue de Chanel vs Yves Saint Laurent Y Nina mpango wa kununua perfume na nimeona wengi...
1 Reactions
37 Replies
10K Views
Many plus-sized ladies choose to stay away from skinny jeans because they fear that they will not look good in them. But the stunning looks that we've put together for you today will give you an...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee leo nimeingia ofisini na kushangazwa na wadada ofisini kwetu. Wengi wao wamevalia hijab, vikoti na sketi ndefu. Wao wanadai wamevaa hivyo kumuunga mkono Mama Samia. Yaani kuanzia Branch...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Ua zuri lenye harufu ya kuvutia mi nalifahamu kwa jina la KILUA, haya maua nayaona sana maeneo ya pwani ebu wanayoyafahamu wanieleweshe zaidi kuhusu huu mti unaotoa haya maua.
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Msaada naomba mnambie mafuta gani hukuza nywele haraka kwa mfano umenyoa zote kichwan Sasa unataka ndani ya Mwezi au miezi ziwe ndefu za kuchana
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Poleni na ugumu wa maisha… Hapa kazi tu ! Wanaume mpo ? Kuna kasumba fulani kwa wanaume wengi hapa Tanzania. Wakioga hawapwndi kabisa kupaka mafuta na hata akipaka anapajipaka usoni tu na...
4 Reactions
112 Replies
15K Views
Kuna clip niliwahi kuisikia ya mh Rais wakati akiwa makamu wa Rais akieleza jinsi alivyopitia hatua mbalimbali mpaka kufika alipokuwa. Moja ya Jambo ktk maongezi yake alilosema ni kuwa kabla ya...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Ladies Naomba Majibu Tujue Mnapendeza Ili iweje
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom