Hijab na vikoti kama Rais Samia ndiyo vazi jipya mjini

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,936
4,347
Aisee leo nimeingia ofisini na kushangazwa na wadada ofisini kwetu. Wengi wao wamevalia hijab, vikoti na sketi ndefu.

Wao wanadai wamevaa hivyo kumuunga mkono Mama Samia. Yaani kuanzia Branch Manager mpaka Receptionist, wote ni hijab, kikoti na sketi ndefu.

20210323_161704.jpg
 
Aisee leo nimeingia ofisini na kushangazwa na wadada ofisini kwetu. Wengi wao wamevalia hijab, vikoti na sketi ndefu. Wao wanadai wamevaa hivyo kumuunga mkono Mama Samia. Yaani kuanzia Branch Manager mpaka Receptionist, wote ni hijab, kikoti na sketi ndefu.
Nashangaa na Mke wangu jana kajifunga hijabu.
 
Aisee leo nimeingia ofisini na kushangazwa na wadada ofisini kwetu. Wengi wao wamevalia hijab, vikoti na sketi ndefu.

Wao wanadai wamevaa hivyo kumuunga mkono Mama Samia. Yaani kuanzia Branch Manager mpaka Receptionist, wote ni hijab, kikoti na sketi ndefu.
Afadhali wavae hivo wanatukwaza sana hawa mama zetu......
 
Back
Top Bottom