Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia unapofanya DAILY SKIN CARE ROUTINE yako yaani ASUBUHI na JIONI.
WAKATI WA ASUBUHI
Wakati wa asubuhi ngozi zetu huathiriwa sana na environmental damages kama vile...
Natafuta perfume original ya kike. Sitaki hizi feki au copy zilizozagaa.
Bajeti yangu ni elfu 50 naweza pata perfume gani na duka lipi?
Wauza perfume nyuzi zenu nishazipitia.
Kwa mtu wa aina hii bila kujali hadhi yake unaanza kuona ni heri awepo paka aliejipumzikia pembeni kuliko yeye. Haya sio mambo madogo kwa mtu mzima, ustarabu ni jambo muhimu na heshima ni kitu cha...
Hello!
Kwa Wadada, kama unatafuta wanaume wenye sura nzuri, gentleman na wa ukweli Basi hama haraka hapa Tanzania na nenda mojawapo Kati ya Nchi hizo hapa 👇
TONER
• Kazi kubwa ya Toner ni kubalance pH ya ngozi, kutoa uchafu wote uliobaki baada ya kuosha uso (kuosha uso pekee kwa maji na sabuni haimaanishi umetoa uchafu wote usoni), inazuia bacteria...
Jamani kwa wale wenyeji wa Moshi naomba msaada wa wapi naweza kupata huduma ya massage ya full body kwa bei ambayo ni reasonable yaani kati ya 30,000 -40,000.
I am on my way to Moshi nitafika...
Habari wana jamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
Katika pita pita zangu mitaani nimekutana na njia kadhaa zinazodiwa kuotesha nywele kwenye upara, baadhi nimezifanyia majaribio lakini hazikuleta matokeo chanya.
Je, ni njia gani ya uhakika...
Moja kwa moja kwenye hoja,
Mimi ni miongoni mwa wasiyopenda ndevu kabisa. Nikitoa ndevu naonekana nadhifu sana na najisikia kujiamini kuliko nikiacha ndevu ziote.
Utaratibu wangu ni kunyoa mara...
Huwa unatumia dakika ngapi kupiga mswaki? Na unapiga mara ngapi kwa siku?
Unatumia dakika ngapi kuoga kila siku na una oga mara ngapi kwa siku?
Wabongo mtaongopa hapa
Mtu Msafi anapoona Uchafu katika Mwili wake, Gheto au nyumba barabarani nk anapata Hasira na kero katika moyo wake.
Na kwa mtu mchafu Uchafu kwake sio tatizo mfano kwa Mtu msafi hawezi kulala na...
Kinyozi wa kwanza wa kike kuninyoa nywele za kichwa changu alikuwa ni Naomi mke wangu.
Hakuninyoa vizuri hivyo siku hiyo ikawa ndio mwanzo na mwisho wa kunyolewa na Naomi. Baadaye nilitafuta...
Hapa sinzungumzii bidhaa za yule msanii mwana FA la hasha bali ni za ile chapa ya FA, wanakuwa na deodorant nzuri sana. Mimi huwa napenda hasa ile imetengenezwa kwa watermelon.
Sasa nmejaribu...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza..
Nimeona kuna umuhimu kwa wadau tunaopenda masuala ya UNYUNYU kukutana hapa na kujuzana ni aina gani ya Perfume/Body Spray(s) kali ambayo(zo) tumewahi kutumia...
Wadau wa Jamii Forums habari zenu, nimekuja kwenu nikiwa na maswali ila pia nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa tajwa hapo juu.
Nimekua nikiona tu hizi bidhaa za hii kampuni ya njiwa (Dove)...
Ndugu watanashati habari,
Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.