Dawa/namna ya kuotesha nywele kwenye upara

Gonho

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
231
187
Katika pita pita zangu mitaani nimekutana na njia kadhaa zinazodiwa kuotesha nywele kwenye upara, baadhi nimezifanyia majaribio lakini hazikuleta matokeo chanya.

Je, ni njia gani ya uhakika katika hilo?

Wana JF karibuni.
 
Upara ni dhahabu,sio jiwe kutupa!.Ukiona upara unakunyemelea ujue umeula.
 
Mtafute yule Bibi zainab ni member hapa JF atakupa ile mbinu ya udongo wake zitaota utapumzika baadaye tena utatumia ikiwa kinaanza kurudi so utakuwa mwendo wa namna hiyo ila kama uchumi unaruhusu kafanye uoteshaji kama wa Rooney wa man utd
 
Watu wenye vipara ni dili sana kwa wavuvi,vipara vinatumika kuvuta samaki,jihadhari,usikae jirani na wavuvi
 
Yaani weye wajaribu tu kila dawa unayoisikia...sasa subiri zitakapokudhuru IMTU wakuchukue wewe ndio wakakutumie kwa majaribio yao.

Kaa na upara wako mpaka kifo kitakapowatenganisha.
 
Mtafute yule Bibi zainab ni member hapa JF atakupa ile mbinu ya udongo wake zitaota utapumzika baadaye tena utatumia ikiwa kinaanza kurudi so utakuwa mwendo wa namna hiyo ila kama uchumi unaruhusu kafanye uoteshaji kama wa Rooney wa man utd
Mkuu uyo bibi anapatikana mtaa upi umu jf
 
Kuna mafuta yanaitwa Belavista extreme hair grow,lazma nywele zitaota n mafuta mazur mm nmeyatumia kurudisha nywele za mbele muuzaji anauza nchi nyingi na yamesaidia watu wengi 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom