Habari wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimezaliwa kijijini na kukulia huko. Mjini wa mara ya kwanza nilikuja kwaajili ya masomo.
Pamoja na kwamba kazi yangu inanilazimu kuvaa kistaarabu, bado...
Habari wakuu.
Ni maeneo gan mjini dar es salaam nitapata maduka ya nguo nzuri za kiume ukitoa kariakoo(pananichanganyaga nashindwa kupaelewa). Yaani jeans kali na tshart zenye quality nzuri kwa...
Hey guys! I was wondering what you guys use for skincare. I'm pretty happy with mine right now (SpectroJel cleanser for blemish prone skin, EpiDuo some nights, La Roche Posay Toleriane Ultra...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
1. Ethiopia
2. Eritrea
3. Somalia
4. Rwanda.
5. Afrika kusini
6. Ivory coast
7. Nigeria
8. Kenya
9.Tanzania
10. Ghana.
RECIPE TO LOOK 10 YEARS YOUNGER!
If you think that you need to spend a fortune and a lot of time to refresh and revitalize your face, you are wrong.
You will need:
1. ½ a banana
2. 3 tablespoons...
Bustani za Mughal na Soko la Polo iliyoboreshwa.
Srinagar (Jammu na Kashmir)
SRINAGAR, Taji la thamani ya Kashmir,imekuwa ni nembo ya ishara ya ukaribisho kwa wajumbe kutoka nchi za G20...
Kuna mambo yanastaajabisha. Siku moja nipo kwenye daladala kuna mlokole akawa kapanda akaanza kuhubiri.
Katika mahubiri yale akasema mwanamke kuvaa suruali ni dhambi. Nikajiuliza maandiko gani...
Hii fashion nimeanza kuiona inashika kasi sana, sidhani kama inaleta picha nzuri sana, ni mawazo yangu tu. Hasa Dar.
Tena vikaptula vyenyewe vina marangi rangi na maua maua.
What is this?
Ina shangaza ndio, na ina weza isiaminike lakini huo ndio ukweli. Maji ya mchele yana faida kubwa katika nywele una weza kuuliza kivipi na nani yame msaidia, ina semekana kabila la Yao kutoka...
Hivi ni kweli mnakosa 3000 ya kununua mkanda mpaka mfunge na kamba za viatu wengine mnatumia utambi wa jiko la mafuta kufunga suruhali zenu kweli vijana wangu mnakosa kabisa 3000 kununua mkanda...
Kwa wale mnaoishi maisha ya gym na diet, vip mabadiliko ya miili mnayaona?? Tunaomben ushauri hapa mazoezi yapi tufanye, diet twende nayo vip, ili kupunguza kilo maana zimeongezeka kwa kasi...
Tattoo zina tafsiri chanya huko majuu, lkn siyo hapa Bongoland. Watu wengi wanatafsiri tattoo kama uhuni (wezi, makahaba na maraibu wa madawa ya kulevya).
Hakuna mwanaume atakuoa mwanamke...
Rangi za mavazi (haswa za ndani) huwa zinaleta msisimko wa mapenzi, na kuna rangi zingine ukiziona zinakata ladha.
Rangi Kama:
(1) Nyeupe, mwanamke akija na rangi ya namna hii NALIA NGWENA huwa...
Mimi ni mnene mno.
Naomba kufahamishwa aina za mavazi akivaa mtu mnene anapendeza. Please ninaomba msaada kwenye hilo.
Ila ikitokea nimevaa vest nyama za mbavuni zina hang na kuchora mistari...
Hello wanajamii forum, mimi ni kijana wa kiume kweny 20s age, Nina changamoto ya kupata chunusi baada ya kupunguza masharubu wakat mwingne yanakua magumu na kufanya upande mmoja wa shavu kuwa...