Pinacoladee
JF-Expert Member
- May 22, 2023
- 858
- 1,124
Hello beautiful ladies, ebu tuambizane unapaka dawa gani kwenye nywele zako,na pia unazitunza vp nywele zako baada ya kuweka dawa, kama unafanya steaming unatumia steaming gani na baada ya muda gani unafanya steaming, na pia baada ya kuweka dawa unasuka baada ya muda gani. Simply tuambie nywele zako unazihudumia/unazitunza vp?
labda m2 upende mwenyew lkn mwanamke nywele bhanaaaa...though sna kichwa kibaya nkinyoa napendez tu lkn nywele kwa mwanamke n bora zaid