Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa Hizi ni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂 Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
20 Reactions
57 Replies
3K Views
Ni mavazi gani hasa umewahi kosea kuyavaa inavyostahili, sio kwa makusudi, ila labda kwasababu ya haraka, kujisahau au giza wakati wa kuvaa, na matokeo yake wakati wa kuvua ndio unagundua ulivaa...
1 Reactions
7 Replies
672 Views
Kwa wapenzi wa kuvaa raba, sana sana za Jordan, kutoka Jordan 1 hadi 23 ipi your fav? Nikiambiwa nichague moja, Jordan 1, nikiambiwa tatu, nitaongeza 4 na 6.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha...
30 Reactions
197 Replies
19K Views
Kuna mdada nyumba jirani huwa anafua nguo za ndani nyingi na kuzianika kujaza kamba ikiwa ni njiani tunapopita. Hii tabia sipendezwi nayo, inatutia tu akshi asubuhii. Kwani hizo chupi huwa...
14 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari zenyu kwema? Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
4 Reactions
85 Replies
3K Views
Akina Dada kuweni makini mnapo changanya mikorogo huyu Dada kachanganya zaidi ya 8 na sabuni ya unga pia kaweka Akatengeneza chemical ya sulphur acid bila yeye kujua inasemekana baada ya...
4 Reactions
9 Replies
701 Views
Wakuu, kwema? Kwa wanaoishi ghetto au wenye sebule, wakati unapambana kubadirisha muonekano wa chumba chako, ebu jaribisha na hivi vitu vitatu hapa chini, vinaweza kubadirisha sana muonekano wa...
13 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni muhimu sana kua karibu na mwenzi wako mkizungumza na kubadilishana mawazo, kwa karibu sana tena kwa kujiamini sana. Ni muhimu sana muonekano wenu, uwe wa kupendeza na kuvutia ninyi wenyewe na...
3 Reactions
4 Replies
756 Views
Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi. Nataka mazoezi niwe nafanyia home...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje...
27 Reactions
27 Replies
2K Views
Mambo vipi, Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na...
29 Reactions
144 Replies
31K Views
KUONDOA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA NA KWAPA Leo wapendwa nataka kuongelea jambo ambalo linasumbua sana wanawake sio kwamba wanaume wao hawana bali hawalichukulii kiundani sana kama sisi wanawake...
4 Reactions
311 Replies
73K Views
Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15. --- Africa's Most Beautiful Women 1. Ethiopia 2. Nigeria 3. Tanzania 4. Kenya 5. South Africa 6. Ghana 7. Zimbabwe 8. Egypt 9. Congo 10...
4 Reactions
35 Replies
13K Views
Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Huu mtindo wa wanawake hasa wanaoishi mjini wa kuvaa nguo/sketi fupi zinazoishia magotini au juu ya magoti halafu wakiwa wanatembea utawaona wanajishika shika hiyo...
22 Reactions
118 Replies
19K Views
Back
Top Bottom