Wadada, phone cases zinawaharibia sana

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,886
Unakuta dada msafi na ananukia. Akitoa simu unaweza chefukwa. Case ya kulinda simu chafuu, uchafu wa mafuta na jasho umeweka weusi. Hii kitu inawapotezea sana mvuto ila nimeona fursa.

Nitaanzisha biashara ya kusafisha macase ya simu. Tsh 400 kwa case.

12579263_f1024.jpg
old-phone-case.jpg
 
Kati ya vitu ambavyo vilinishinda ni kuweka cases au screen protector.

Naona siifurahii simu yangu kabisa. Bora ibaki uchi hivyohivyo milele.


Inategemea mkuu unamiliki nn mfano nilikuwa na Samsung note 4 ilikuwa wazi na nilikuwa free mno. Ikafa. Sasa hii tecno boom nimeieka kwa case huwezi jua Nina nini. (Kwa kweli tecno ni mapito tu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom