Mrejesho: Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
504
Mambo zenu JF,

Napenda kuwashukuru members wote walionitia moyo katika kipindi kigumu nilichokua napitia.

Nawashukuru kwa michango yenu ya kimawazo, sina cha kuwalipa nawaombea tu kwa Mungu atawabariki.

Mchango wenu uliiniimarisha na kunifanya nijione mtu katika watu.

Kama wengi walivyonishauri niende hospitali, kweli nikafanya hivyo.

Baada ya kumwelezea dokta hali yangu akaniandikia vipimo, kufika maabara nikapima kila kitu hadi UKIMWI.

Na ikagundulika kua nina FUNGUS YA NGOZI.

Nimeanza kutumia dawa namshukuru Mungu muwasho unapungua, nataka nione kama nikimaliza dozi makovu yataondoka ama la.

Nilisahau kumuuliza dokta kama hizo dawa baada ya kutibu fungus zitaondoa makovu.

Ila hakuna kilichoharibika so long as najua nikipata minor bruises au cuts au nikijikuna sitabakia na makovu tena kwa sababu nitakua nimeshatibu hao fungus.

In case fungus wakaisha na yale makovu ya mwanzo yakabaki, nitatafuta dawa ya kuyaondoa maana nitakua na uhakika kua yatafade kama sio kuisha.

Nawashukuru tena kwa mara nyingine, Mungu azidi kuwabariki.
 
Hongera bidada nimefurahia mrejesho wako, hongera sana, yasipoisha makovu nione, nina scrub ya asili na sabuni yake vinaondoa makovu na rougjness ktk ngozi. Nakuona soon unakua mrembo!
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom