Naombeni msaada kwa wanaojua tiba ya utitiri kwa kuku

parajonse

Member
Oct 31, 2017
8
5
NAOMBA MNISAIDIE DAWA YA UTITIRI KWENYE KUKU WA KIENYEJI

images.jpg
 
NAOMBA MNISAIDIE DAWA YA UTITIRI KWENYE KUKU WA KIENYEJI

Hawa ni viroboto mkuu. Tumia mafuta ya mgando kupaka hii sehemu yenye viroboto.
Pia fanya usafi bandani kwa kudeki na sabuni ya unga halafu nunua Akher Powder nyunyuzia bandani kwenye kuta na sakafu yote na nyengine wanyunyuzie hao kuku kwenye miili yao.

Pia nenda kwenye maduka ya dawa za mifugo kuna dawa watakupa ambayo unachanganya kwenye maji ya kunywa kwa maelekezo yao ili hao viroboto wakinyonya tu damu ya kuku watakufa kwakuwa watanyonya sumu.
 
Mwambie atumie mafuta ya taa kwenye eneo lenye viroboto watakufa mkuu
 
Vifaranga wanakufaje wakati anapaka tu sehemu yenye viroboto mkuu? Kuwanywesha ndio tatizo mkuu lakini kupaka tu hakuna tatizo.
Mafuta ya taa Kwa Vifaranga unatakiwa upake Kwa uangalifu la sivyo wanakufa, Mimi nilishawahi kufanya hivyo naona nilizidisha mafuta ya taa, na Vifaranga vilikufa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom