Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau wa kilimo naomba kuuliza nimesoma komnti na maelezo watu waliondika kuhusu kilimo cha maparachichi za 2021. Naomba kuuliza vip kwa miaka hii 2023 bado kilimo cha maparachichi kinalipa? Je...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa...
1 Reactions
0 Replies
707 Views
Dragon fruits ni moja ya matunda ghari sana Duniani, na yanalimwa sana Asia panoja na nchi kama USA, Ni matunda ambayo ulimaji wake ni rahisi sana ila sijajua no kwa ni yanauzwa ghari sana. Kwa...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Heshima zenu wakuu, Nina penda sana kilimo cha herbs kama mint (mnanaa), basil (mrehani), rosemary, sage(mjuzi), citronella(kibelarusi), lemongrass (mchaichai), lemon balm (zeri ya limao) na...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
"Dondoo muhimu za msimu wa mvua za Vuli; Oktoba - Disemba 2023" Kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania. "Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa na mwelekeo wa msimu wa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame...
12 Reactions
18 Replies
6K Views
Wakuu Salaam, Kwa wanaojua ni wapi naweza kupata mashine ya kuvuna mpunga kwa hapa Tanzania kwa maana ya kununua au pia kuagiza nje ya nchi pamoja na bei yake? Mashine ninayohitaji ni ndogo sio...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu wanaJamiiForums! Samahani naomba msaada kwa anayefahamu au hata kujishughulisha na zao la Ngwara. Tafadhali naomba nipatiwe elimu juu ya kilimo cha zao hili soko lake pia. Zao hili...
1 Reactions
33 Replies
20K Views
Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu salaam, katika harakati za kutafuta maisha, nimeona niingie shambani. Swali langu: Inawezekana kwa shamba jipya ukapanda either ufuta au mahindi bila kulima? Yaani ukakata msitu...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Naomba ushauri ni kilimo kipi cha nazina ya baadae ni bora zaidi au kuwa na manufaa zaidi kati ya miti ya mbao dhidi ya mikorosho? Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Ni rasmi Sasa kile kilio Cha Wafugaji wa Tanzania kukosa vifaranga kinaenda kuwa Historia Kufuatia Kampuni ya Cobb kutoka Ulaya ambayo ni Maarufu Kwa ufugaji na uzalishaji wa vifaranga wa kuku...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Galoni moja ya sumu ya nge inauzwa dola za kimarekani Mil 38 ambayo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania bilioni 75 (kumbuka hostel za Udsm ni BIL. 10). Gunia mia za hawa wadudu zinatosha kabisa...
14 Reactions
130 Replies
31K Views
Watanzania wengi still na still tunalima au kufanya vitu kwa kuigana tu. Hii hupelekea mazao menhine kuwa na wakulima.wachache sana. Nani mfano analima mazao haya comercialy? 1. Viazi vitamu...
15 Reactions
54 Replies
4K Views
MBUNGE MARTHA FESTO AHOJI UJENZI WA SKIMU YA MWAMAPULI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma Martha Festo alielekeza swali Wizara ya Kilimo kutaka...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu poleni na pilika za kutwa Hongereni sana kwa kumaliza siku salama, Naomba kuuliza ni wapi Kuna mashamba ya Bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba? Ambayo hayana ukame sana Natamani...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Jamani nombeni kujua mise ikikamuliwa mafuta kwa gunia Moja inatoa mafuta kiasi gani gunia la kilo 120
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
AHADI YA MHESHIMIWA RAIS YATEKELEZWA - SERIKALI KUFUFUA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KWENYE BONDE LA BUGWEMA Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokea na kukubali ombi la kufufua kilimo cha Umwagiliaji...
2 Reactions
1 Replies
805 Views
Wataalamu wanafikiri hivyo. Zafarani iko njiani kutoka Pampore huko Kashmir kuelekea kaskazini-mashariki kama NECTAR katika mradi kabambe ambao umefanikiwa kukuza viungo huko Yangyang kusini mwa...
3 Reactions
3 Replies
846 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…