Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

James07392

Member
Mar 8, 2019
20
6
Ndugu wanaJamiiForums!

Samahani naomba msaada kwa anayefahamu au hata kujishughulisha na zao la Ngwara. Tafadhali naomba nipatiwe elimu juu ya kilimo cha zao hili soko lake pia. Zao hili linalimwa sana Manyara na Arusha.

Msaada wenu wa hali na mali wataalamu tafadhali.
 
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).

Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.

Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).

Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.

Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.

Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000

NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu

Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..

Una swali uliza hapa hapa
 
Aisee hili ni zao nimesikia kwa jamaa zangu walikuwa wananishawishi kuwekeza ktk kununua sasa ,mbona naona bei ya kununua imechangamka.Nikinunua kwa 3000.00 baadaye niuze 5000.00 naona kama faida ni ndogo ukizaingatia kusubiri kutahusisha gharama za kutunza nk !??
 
Bei ya 5000 ni mtazamo wangu kutokana na dunia na disruption iliyotokana na COVID-19,bei ya uuzwaji wa 3000 kwa sasa(kama nlivyoandika),hawa walinunua mapema kwa bei ya chini sasa ndo wanauza kwa bei hiyo(wakati mwingine bei za shambani hufika mpka 1800 kwa kilo),wakati mzuri wa kununua tena u pin point maeneo yalilimwa kwa wingi na ipo nyingi kuanzia mwezi wa 9.

Ushauri:

Ukitaka kufanya biashara ya mazao usiache hata faida ya 100/kilo kama ukitoa gharama zako zote,weka mtaji wa wastani zungusha kidogo kidogo kwa mzigo mkubwa ndo inalipa zaidi kuliko kungojea bei ipande (kwa matumaini ya siyo na uhakika na hujui ni lini).
 
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).

Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.

Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).

Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.

Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.

Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000

NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu

Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..

Una swali uliza hapa hapa
Asante saana mkuu na vipi kuhusu mbegu upatikanaji wake
 
asante saana mkuu na vipi kuhusu mbegu upatikanaji wake
Mbegu zinapatikana @3000tzs/Kilo,hapa naongelea kwa huku nilipo.

Pia kuna kipande siku kifafanua hapo juu,kama utalima kwa trekta na ukapanda kufata trekta nyuma ekari moja ya 70x70m itakula mbegu 5-7Kg inategemea wapandaji wanarushaje(hapa inataka utaalamu kidogo kutokana na jembe la trekta linarusha udongo kiasi gani,kumbuka unalima shamba lenye ubichi kwa hiyo udongo umeshikana),kwa udongo mwekundu hua tofauti kidogo
 
Attachments

  • 20200514_150444.jpg
    20200514_150444.jpg
    228.1 KB · Views: 80
Mbegu zinapatikana @3000tzs/Kilo,hapa naongelea kwa huku nilipo.

Pia kuna kipande siku kifafanua hapo juu,kama utalima kwa trekta na ukapanda kufata trekta nyuma ekari moja ya 70x70m itakula mbegu 5-7Kg inategemea wapandaji wanarushaje(hapa inataka utaalamu kidogo kutokana na jembe la trekta linarusha udongo kiasi gani,kumbuka unalima shamba lenye ubichi kwa hiyo udongo umeshikana),kwa udongo mwekundu hua tofauti kidogo
Asante saana boss ubarikiwe ..Upandaji ni kwa umbali gani kati ya mbegu na mbegu... Pia kila shimo ni mbegu ngapi zinapandwa......Na vipi soko mfano huku kwetu kansai mkulima akivuna anaenda kuuza kwa walanguzi wanalangua debe efu 30. Kama kuna uwezekano wa kulifuata soko kwa kusafirisha mzigo nahtaji kujua hayo masoko
 
Mkuu mwaka jana mwisho nilichukua shamba heka 10 galapo hapo babati lengo lilikuwa nilime wifi a.k.a ngwara ila mambo yakawa tofauti kwenye bake time yangu hvy nikabadilisha kwa shamba la dengu ndo nimeipanda mwaka huu mwezi wa nane mwishoni hv itatoka, ila mwakani mungu akipenda nalima hiyo kitu.
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).

Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.

Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).

Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.

Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.

Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000

NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu

Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..

Una swali uliza hapa hapa
 
Mkuu mwaka jana mwisho nilichukua shamba heka 10 galapo hapo babati lengo lilikuwa nilime wifi a.k.a ngwara ila mambo yakawa tofauti kwenye bake time yangu hvy nikabadilisha kwa shamba la dengu ndo nimeipanda mwaka huu mwezi wa nane mwishoni hv itatoka, ila mwakani mungu akipenda nalima hiyo kitu.
Ahahah nimecheka hapo ulipoziita wifi. Nadhani tunaziita fiwi.

Tulilima sana kwenye bustani za nyumban miaka hiyo maeneo ya Dodoma. Tulitumia kama mboga tu na nilikuwa nazipenda sana.
 
Asante saana boss ubarikiwe ..Upandaji ni kwa umbali gani kati ya mbegu na mbegu... Pia kila shimo ni mbegu ngapi zinapandwa......Na vipi soko mfano huku kwetu kansai mkulima akivuna anaenda kuuza kwa walanguzi wanalangua debe efu 30. Kama kuna uwezekano wa kulifuata soko kwa kusafirisha mzigo nahtaji kujua hayo masoko
Namna ya upandaji ni wewe mwenyewe utavyopendelea,mimi hua napendelea mstari na mstari 1m,shimo kwa shimo 1m(ingawa haiwezi kua precise 100%),Mbegu kwa kila shimo naweka 2 au 3(uki maintain vizuri hapa eka moja kwa jembe itakula kilo 2.5 - 3 ----ijumaa nimepanda eka 14.5 kwa kilo 40).

Kuhusu soko ni wewe mwenyewe kujiongeza,kuna ugumu kidogo kuwakwepa hao "Walanguzi" kama ukilima mbali sana na vijiji (Kansai nayoijua ni ya Karatu) na ukiwa na mzigo mdogo..,hapa la muhimu ni wewe uwe na mzigo mwingi na ufikishe maeneo marahisi kuchukulika,na ungojee kidogo soko likisha stabilize ndo uuze(ambapo bei itakua imejulikana kwa mjini ni kiasi gani ama uhifadhi kwa ajili ya wakulima wa msimu utao fuata).
Bei imepanda kidogo juzi ijumaa imefika 3200tzs/Kg.
 
Kwa wakulima wote,la muhimu sana ni uangalizi wa wadudu na kupiga dawa,ikitoa majani ma 4 tuu anza dawa na ipigwe chini ya shina sio juu ya majani,isipungue mara 2,at least hapa utaweza kupata gunia 5+
 
Afande wetu JKT alikuwa anaitwa Gwalanda. Kuna mtu humu anamkumbuka? Mwingine pia alikuwa anaitwa, Twatwatwa, na mwingine Falafata. Ngwara imenikumbusha Gwalanda
 
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).

Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.

Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).

Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.

Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.

Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000

NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu

Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..

Una swali uliza hapa hapa

Mkuu habari yako naomba kujua kuusu iyo ngwara my no 0716606016 ipo Whatsapp
 
Je kwa mikoa ya joto hii fiwi inastawi?
Kama pwani
Inaota,ila kwa shida,kama Dodoma wanalima..,Pwani kwa mfano mabonde ya mto Ruvu na Wami ambayo wanalima mpunga inaota vizuri tuu,swala ni timing ya unyevu wa chini na udongo,ila kwa mavuno ya uhakika lima kuanzia urefu wa 750m kutoka usawa bahari(hii ina ku guarantee moisture ya kuhakikisha mmea unatoa majani haraka kabla ardhi haijawa kame)
 
Kaka samahani, naomba namba yako nukuulize swali kuhusiana na zao hili kwasababu Mimi pia npo kwenye harakat ya kulima zai hili

Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).

Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.

Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).

Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.

Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.

Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000

NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu

Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..

Una swali uliza hapa hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom