Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nimesia Kiwano meloni ingawa nilipata tunda moja ambalo ndio nimekamua mbegu, ila sio mbaya sana, na natarajia hadi mwakani mwezi wa 3 nifanye Market testing ya haya matunda kwenye baadhi ya Super...
5 Reactions
8 Replies
714 Views
Wanajukwaa mimi ni mmiliki wa trekta zaidi ya moja naomba kujua ni maeneo gani yanauhitaji mkubwa wa trekta wakati wa msimu wa kilimo na ni mwezi upi? Kama mtu Anauhitajika na trekta la kulima...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu Wana jamvi habari ya leo Niko Kanda ya Kati Singida nauliza ni mbegu ipi ya mahindi inastawi vizuri huku. Msimu umeanza niweze kupanda.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake. Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo...
4 Reactions
7 Replies
978 Views
Migomba Aina ya malindi, Mshare, Bukoba, mzuzu na kisukari utaipata kwa Bei nzuri kabisa. Tupigie Leo 0752799673/0746850361
2 Reactions
7 Replies
965 Views
Natamani kulima maboga ila sijui kanuni kuanzia mbegu,udongo,msimu mzuri wa kulima na soko
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbinu muhimu wakati wa uanzishaji ufugaji wa samaki i. Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Ni wazi kuwa dhamira ya kweli ni kitu muhimu sana unapotaka kufanya jambo...
1 Reactions
2 Replies
979 Views
Habari zenu Wakuu, Wapi naweza pata chokaa kwa matumizi ya kilimo maana nimeulizia Dodoma cement wenyewe wanauza kuanzia 1000 kg na Mimi nahitaji 100kg. Napatikana Singida
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF! Kwa sasa hivi nimeona juhudi mbalimbali zinazochokuliwa kuinua kilimo cha mkonge kwa maelezo kwamba kinalipa kwa kuwa ni zao lenye soko kubwa. Naomba kujua uzoefu wenu katika...
2 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari, Mimi ni mkulima wa vanilla nataka kukua sasa kwa kujenga greenhouse yangu kama m² 30/40. Hivyo nataka kujua ghalama za net kwa ambaye anajua anaweza kunielekeza na sehemu ya kuzipata na...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Habarini wafugaji wenzangu. Nina imani mifugo yenu inaendelea vema. Mimi ni mfugaji mdogo na si wa siku nyingi sana, kwa kipindi nilichofuga mpaka sasa nimeweka malengo makubwa ya kufika mbali...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji automatic rollers/ trays zinaweza kutumika katika incubator, Kama picha invyoonesha.Nahitaji kujua Bei za manunuzi yake zimekaaje kwa Dar es salaam
2 Reactions
3 Replies
658 Views
Naweza kupata wapi hiyo dawa na bei yake kwa lt 20? Please minipo Nkwini Same.
1 Reactions
1 Replies
451 Views
Historia: Mwanza ni mji ulioko katika eneo la kaskazini mwa Tanzania. Ingawa una ardhi yenye rutuba na hali ya hewa nzuri kwa kilimo cha matunda, mji huu haujulikani kwa biashara hii...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu nauliza wale wanaolima mboga mboga za majani kule Morogoro wanalima sehemu gani. Yaani ni wilaya ipi na kijiji kipi, maana nimeona mboga nyingi zinatoka huko kuingia mjini Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu! Mwenye kujua au aliyewahi kutumia mbolea hii ya maji almaarufu Kwa jina la supergrow. Je nikweli Ipo Vizuri ukilinganisha na mbolea hizi tulizo zoea kama NPK, CAN, UREA, DAP...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina...
1 Reactions
5 Replies
795 Views
MBUNGE EDWARD LEKAITA AWATAKIA WAKULIMA MSIMU MWEMA WA KILIMO KATA YA KALOLENI JIMBONI KITETO Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ametembelea na kushiriki shughuli...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Nawasalimia ndugu zangu, Poleni kwa changamoto ya mvua Nina shamba langu dogo hapo Chalinze, nataka nilipande miti pembeni kulizunguka. Je, huu ni msimu mzuri wa kuotesha miti? Je, ni miti...
2 Reactions
5 Replies
960 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…