Nataka kujua ubora wa mbolea ya super grow

PharaohMtakatifu

JF-Expert Member
Jul 3, 2023
659
1,074
Heshima yenu wakuu!

Mwenye kujua au aliyewahi kutumia mbolea hii ya maji almaarufu Kwa jina la supergrow. Je nikweli Ipo Vizuri ukilinganisha na mbolea hizi tulizo zoea kama NPK, CAN, UREA, DAP nk?

Nimeifatilia sana Kwa wauzaji wakiinidi kuwa Ina ubora wa Hali ya juu sana kuzidi mbolea zote maji na hata kama hujaweka mbolea ya kupandia basi super grow ndo mwisho wa yote!

Naomba Kwa Ambae anaifahamu Kwa nmna Moja au nyingine hii anipe uzoefu wake hasa yule aliye itumia ilimpa matokeo chanya?

Na pia nitaigunduaje hii ni original na fake? Vipi kuhusu muuonekano huu hapa ipi nzuri kati ya blue na white au ubora sawa ila vifungashio tu ndo tofauti?

Wapi naweza pata original nahitaji naianze na lita5 kama itaonekana inafaa na Ina ubora zaidi. Ahsantee sana.

Screenshot_20231113-052236.jpg
Screenshot_20231113-052242.jpg
 
Mimi sijawai tumia shambani.

Ila nina uzoefu nayo kutokana na shuhuda za walio kua wanatumia.

Kwanza sio mbolea. Ila ni kirutubisho kinachosaidia mmea kukua na kustawi. Inasaidia baadhi ya pembejeo za kilimo kufanya kazi. Kama mbolea na madawa.

Hivyo. Kama unanafasi ya kutumia itumie. Inamatumizi mengi zaidi ya hayo.Kama kuoshea nywele, Kusafishia vyombo.

Hata kama una chunusi hazielewi dawa chukua tone la Supergrow nyunyuzia then baada ya siku3 njoo hapa
 
Mkuu ahsante kwa hiyo inakuza nywele? Maana wengine UWARAZA umeanza mapema sana.
 
Mimi sijawai tumia shambani.

Ila nina uzoefu nayo kutokana na shuhuda za walio kua wanatumia.

Kwanza sio mbolea. Ila ni kirutubisho kinachosaidia mmea kukua na kustawi. Inasaidia baadhi ya pembejeo za kilimo kufanya kazi. Kama mbolea na madawa.

Hivyo. Kama unanafasi ya kutumia itumie. Inamatumizi mengi zaidi ya hayo.Kama kuoshea nywele, Kusafishia vyombo.

Hata kama una chunusi hazielewi dawa chukua tone la Supergrow nyunyuzia then baada ya siku3 njoo hapa
Bro si wameandika hapo kuwa ni sabuni au huoni hiyo label yake? Je ina virutubisho gani vinavyohitajika na mmea? Huo ni utapeli, hiyo ni sabuni tu mkuu na haina kirutubishi chochote kile.
 
Nilitaka ninunue lita5 lakini Kuna mdau mmoja aliniambia kuwa Haina kitu hiyo na nisipo Angalia nitauziwa sabuni
 
Bro si wameandika hapo kuwa ni sabuni au huoni hiyo label yake? Je ina virutubisho gani vinavyohitajika na mmea? Huo ni utapeli, hiyo ni sabuni tu mkuu na haina kirutubishi chochote kile.
Hapo nashindwa elewa kabisa Kuna jamaa alini inbox akasema heri ni nunue can,npk au urea kuliko hiki kirutubisho.yeye aliuzia sabuni
 
Mimi sijawai tumia shambani.

Ila nina uzoefu nayo kutokana na shuhuda za walio kua wanatumia.

Kwanza sio mbolea. Ila ni kirutubisho kinachosaidia mmea kukua na kustawi. Inasaidia baadhi ya pembejeo za kilimo kufanya kazi. Kama mbolea na madawa.

Hivyo. Kama unanafasi ya kutumia itumie. Inamatumizi mengi zaidi ya hayo.Kama kuoshea nywele, Kusafishia vyombo.

Hata kama una chunusi hazielewi dawa chukua tone la Supergrow nyunyuzia then baada ya siku3 njoo hapa
Hapo kwenye chunks siyo kwamba ndio zitastawi maradufu??
 
Ipo mbolea Inazalishwa na ITRACOM DODOMA wana mbolea ya kupandia, Kukuzia ni mchanganyiko samadi
 
Unampomshauri mtu kusema hiki hakifai ni vema ukamshauri mbadala wa kinachofaa
Mkuu mbolea zipo nyingi sana, zipo hizi za kawaida kama urea n.k, zipo booster (mbolea za majani) za chenga, au za maji. Na zimekuwepo hata kabla ya ujio wa supergro, kwa hiyo supergro haikuja kuchukua nafasi ya mbolea.

Ni vyema kuwashirikisha wataalam wa kilimo juu ya mbolea nzuri za kutumia.

Wako,
Mtalula M.
Mtaalam na mshauri wa kilimo
Mogriculture.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom