ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,838
Mageuzi ambayo yamekuwa yakifanywa na Serikali ya Rais Samia yamekifanya Kilimo kuwa sekta kimbilio na ya kuaminika.
Ikumbukwe miaka michache Iliyopita Kilimo kilikuwa kinaonekana ni kazi ya maskini na ya laana na ambayo Haina future Kwa kuwa tuu ilipuuzwa na mamlaka za serikali.
Lakini Toka Rais Samia Ameingia Madarakani amebeba ajenda ya Kilimo mabegani kwake sio Kwa maneno bali Kwa vitendo Kwa Kumwaga Mabilioni ya pesa Hadi kufikia Bajeti ya Bil.970 kutoka chini ya Bil.300.
Lengo la Serikali ni Kuwavutia Vijana na kuwa retain walioko kwenye sekta hiyo kwamba ni kazi ambayo inaweza kukupa Utajiri.
Serikali imekuwa ikitoa ruzuku kwenye pembejeo,inajenga mabwawa na skimu za umwagiliaji,imeshusha riba za mikopo kwenda sekta za Kilimo,mifugo na Uvuvi na inatafuta masoko ikiwemo kununua mazao ya wakulima.
Matokeo ya Juhudi hizi za serikali ni kuongezeka sana Kwa Kasi ya Mabenki kutoa mikopo kuelekea sekta ya Kilimo ambapo Kwa miaka 2 mfululizo,sekta ya Kilimo imeongoza Kwa kuvutia mikopo na uwekezaji.
View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1724355311723593806?t=svJO-RmsB8TAaNRSLnByhA&s=19
Ushauri.
Tunaomba Serikali izidi kujali sekta hii hasa Kwa kupunguza zaidi vikwazo pindi masoko ya Nje yakipayikana.Aisha izidi kututafutia masoko ya mazao Nje na ndani ya Nchi maana uhakika wa soko ndio incentive kubwa Kwa Kilimo.
Hongera sana Rais Samia Kwa utashi wa Kisiasa na hongera Waziri Bashe.Kazi iendelee.
View: https://youtu.be/S943r56KL8E?si=jgYGMsnT-7JNTmDQ