Wafugaji wa mbuzi

jangos

Member
Dec 20, 2023
25
29
Habari,
Nimenunua mbuzi lakini kinyesi chake sio Kama mbuzi wengine naomba msaada nielewe shida nini
IMG_20240311_105041.jpg
 
Haina shida hiyo hutokana na kula majani yalio mabichi sana kikubwa mpe dawa za minyoo na kama ndio mpya hapo shambani kwako kumbuka kumweka Quarantine kwa siku 14 na huku ukimfanyia matibabu stahiki na kumwangalia mabadiliko ya mwili wake. ubarikiwe sana.
 
Kwahiyo akipewa dawa ya minyoo atakua sawa? Mana anakula sana yani
 
Kwahiyo akipewa dawa ya minyoo atakua sawa? Mana anakula sana yani
Dawa za minyoo ni muhimu sana hasa kwa kufwata mpangilio ulio jipangilia shambani mwako, kwa mfano. ukiwapa dawa za minyoo ya kunywa mwezi huu basi wakati wa marudio ukifwata unawapa ya kuchoma hii itakusaidia kuwaepusaha Mbuzi wako na minyoo na kuwa salama kwaajili ya uzalishaji na ukuwaji wao.
 
Back
Top Bottom