Joto gani na unyevu vinafaa kwenye incubator ikiwa na mayai


Bwanamaya

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
36
Points
125
Age
37
Bwanamaya

Bwanamaya

Member
Joined Mar 14, 2017
36 125
Waungwana naombeni msaada tafadha sina utaalama sana, jamaangu ameniazima mashine n tayari nimeshaweka mayai ila naombeni msaada kwe hayo mawili tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
568
Points
1,000
F

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
568 1,000
Nyuzi joto lisiwe juu au chini ya 37
 
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
7,908
Points
2,000
OS Cordis

OS Cordis

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
7,908 2,000
Kwa siku kumi na nane za mwanzo joto linatakiwa kuwa 37.5 na unyevu unyevu unatakiwa kuwa kati ya 50-60%..

Na siku tatu za mwisho yaani siku ya 19-21 joto lishushwe mpaka 36.5 na unyevu unyevu unatakiwa kuongezeka hadi 60-70%..
 

Forum statistics

Threads 1,293,768
Members 497,735
Posts 31,152,760
Top