Habari ndugu zangu, natumai sote tunaendelea kusherehekea vyema sikukuu. Nahitaji shamba la kukodi Mikese: naomba muongozo kwa wazoefu au kama wako humu wanaoishi maeneo hayo. Asante.
Wadau!
Naitaji kuku (Matetea) yanayokaribia Kutaga au yanayotaga kwaajili ya ufugaji. Wawe watagaji wazuri niko Bunju Dar es salaam.
Aliyenao naomba anicheck PM.
Habari za leo viongozi!
Naomba kwa mtu ambaye anajua mchanganuo halisi wa kilimo Cha tikiti anisaidie kuhusu vitu vifuatavyo:
1.Gharama za mbegu za kutosha eka 1
2. Idadi ya Miche katika eka 1...
Bata wako under rated sana ila ni project ambayo mtu anaweza tengeneza pesa ndefu sana tena mno. Wengi tunakomaa na kuku nakujikuta Market share ndi ndogo sana.
Mayai ya Bata ndio hutumika kwenye...
Ni uwekezaji mzuri, kama umeweka pesa Bank kwenye Fixed Account. Mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa Tsh. 900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka 6. So, hekari moja ina miti 600 baada ya...
Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji,
Tafadhali rejea kichwa cha mada.
Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata...
Mbuzi wa aina ya Isiolo au Gala ni mbuzi weupe ba wenye maombo makubwa ni wazuri sana kwa ajili ya nyama na sanapatikana sana nchini Kenya.
Pia kuna Kondoo Black Head au Doper ambao asili yake ni...
Wadau,
Nipo Dar, ila nimeamua kununua mahindi mkoani Rukwa kwa minajiri ya kuyatunza na kuuza baadaye wakati wa uhitaji. Maana wakulima wengi huuza mazao yao yote na wakati wa masika huteseka kwa...
Habarini wanajukwaa natumai ni wazima wa afya tele na pia natanguliza shukrani zangu kwenu.
Nimeanzisha mradi wa ufugaji wa sungura ili niweze kukuza kipato na kupambana na changamoto za maisha...
Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa...
Ndugu zangu nashukuru sana mada mbalimbali zinazojadilikwa kuhusu kilimo. na mimi ndo naanza kujikita katika kilimo.
Nina shamba langu katika wilaya ya bagamoyo (maeneo ya barabara ya...
Habari wana JF, karibuni mjipatie zana bora za kilimo ; trekta aina ya mahindra ni trekta bora yenye usanifu mkubwa katika nchi yetu ya tanzania.
Karibuni kwa maswali na maelekezo juu ya namna ya...
Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu,
Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari...
Wakuu, naomba kuuliza hivi nikichukua nyanya kisha nikatoa mbegu zake nikazipanda zitaweza kunipa mazao maana huku nilipo uwezekano wa kupata mbegu ni mdogo.
Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani...
Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya;
1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata...
Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine
soko lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.