Dawa ya kuzuia Mahindi yasioze!

Insabhunsa Gusa

Senior Member
May 13, 2011
109
88
Wadau,

Nipo Dar, ila nimeamua kununua mahindi mkoani Rukwa kwa minajiri ya kuyatunza na kuuza baadaye wakati wa uhitaji. Maana wakulima wengi huuza mazao yao yote na wakati wa masika huteseka kwa kukosa akiba ya chakula nafaka.

Swali langu ni je ipi dawa sahihi, au njia sahihi ya kuyahifadhi mahindi hayo kwenye magunia ili yawe salama yasishambuliwe na dumuzi na wadudu wengine.

Asante Sana kwa msaada wenu.

Mwekezaji wa nafaka.
 
7c51e98647b14fcd863bd5b5cc964ab5.jpg

brain is the beautiful part of the body.
 
Kama mzigo ni mwingi ni gharama sana kutumia hii kitu
Bei ni kati ya 3000 mpaka 4000 kwa mfuko mmoja
Labda kama una mahindi kidogo ya chakula
Ushauri wangu tumia dawa ya unga au vidonge unaweka kwenye staker na chini ya ghala,ile harufu ya vile vidonge wadudu wanakufa
IPO ya unga ambayo unaweza changanya kwenye mahindi kwa maana mahindi unayaweka kwenye durubai unachanganya na dawa theni una pack kwenye gunia
Kwa kukwepa usumbufu kwa mzigo mwingi tumia vidonge unavichomeka tu kwenye staked za mahindi kila baada ya miezi 3 kazi imeisha hakuna mdudu atakaye kula mahindi
Vidonge ivi vinapatikana duka la pembejeo
 
Navijua mkuu, vinauzwa kuanzia 4000/= per pcs ambacho kinatumika kwa gunia 4 za 100kg. Kama ulivosema zina shelf life ndogo lakini mifuko hiyo inatumika kwa storage for about two(2) seasons of production

brain is the beautiful part of the body.
 
Asante sana, wapi mifuko inapatikana na inaitwaje kitaalamu.
...Kama lengo lako ni kutunza mahindi mengi ili baadae uuze hiyo mifuko haitakufaa kwa sababu bei yake ni elfu tano na pia inahitaji umakini,ikitoboka ni tatizo. Tafuta dawa inaitwa SHUMBA Dust, kichupa kimoja sh elfu 4 na kinatumika kwenye magunia 4. Maduka yote ya pembejeo dawa hiyo inapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mengi na ni ya biashara vidoge ndo suluhisho bei ni za kawaida 30,000 gunia mia miezi hadi minne na haina usumbufu kwani unaweka vidoge kwenye staker unafuka na turubai hapo hata paka akikatiza anakufa lakini mifuko ni ghari Sana
 
Hapa ndo penyewe mkuu
Vidonge tu kama mzigo anao mwingi na ni wa biashara
 
...Kama lengo lako ni kutunza mahindi mengi ili baadae uuze hiyo mifuko haitakufaa kwa sababu bei yake ni elfu tano na pia inahitaji umakini,ikitoboka ni tatizo. Tafuta dawa inaitwa SHUMBA Dust, kichupa kimoja sh elfu 4 na kinatumika kwenye magunia 4. Maduka yote ya pembejeo dawa hiyo inapatikana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii kuweka kwenye gunia nyingi ni changamoto na usumbufu maana huwa inachanganywa kwenye mahindi
Sasa inakubidi umwage kwenye durubai afu uanze kuchanganya na dawa afu urudishe tens kwenye mifuko
Sasa ili kukwepa haya yote tumia vidonge
 
Kama mzigo ni mwingi ni gharama sana kutumia hii kitu
Bei ni kati ya 3000 mpaka 4000 kwa mfuko mmoja
Labda kama una mahindi kidogo ya chakula
Ushauri wangu tumia dawa ya unga au vidonge unaweka kwenye staker na chini ya ghala,ile harufu ya vile vidonge wadudu wanakufa
IPO ya unga ambayo unaweza changanya kwenye mahindi kwa maana mahindi unayaweka kwenye durubai unachanganya na dawa theni una pack kwenye gunia
Kwa kukwepa usumbufu kwa mzigo mwingi tumia vidonge unavichomeka tu kwenye staked za mahindi kila baada ya miezi 3 kazi imeisha hakuna mdudu atakaye kula mahindi
Vidonge ivi vinapatikana duka la pembejeo
Vidonge vinaitwaje? Ni vema ujataja jina la dawa badala ya kusema vidonge au unga,nk
 
Au yakoboe tu hapo utakuwa umepona
Ila kwa Kule kwetu moshi tunawekaga mahindi kwenye mapipa ya chuma miaka 500000 nenda ulaya rudi indi liko mukide

Mpe anae kupa
 
Nitarudi baadae kuangalia hilo jina la kidonge likishatajwa.
 
Back
Top Bottom