Mariechitz
Member
- May 3, 2019
- 5
- 3
Habari ndugu zangu, natumai sote tunaendelea kusherehekea vyema sikukuu. Nahitaji shamba la kukodi Mikese: naomba muongozo kwa wazoefu au kama wako humu wanaoishi maeneo hayo. Asante.

Ulipata mkuu?Habari ndugu zangu, natumai sote tunaendelea kusherehekea vyema sikukuu. Nahitaji shamba la kukodi Mikese: naomba muongozo kwa wazoefu au kama wako humu wanaoishi maeneo hayo. Asante.