Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hallo wakuu niko na mbwa jike hapa nyumbani nifanyeje asizae tena? Maana midume humfuata hapa nyumbani, Ushauri tafadhali
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Wakuu kheri ya mwaka mpya kwenu nyote, natumai mko poa. Hongereni pia kwa mapambano ya kilimo. Wakuu nahitaji muongozo kadhaa kuhusu kilimo Cha mahindi. Nahitaji kwenda kufanya kilimo cha mahindi...
5 Reactions
26 Replies
8K Views
Habarini za mwaka mpya wana Jf! Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona...
9 Reactions
65 Replies
17K Views
Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine. Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda sana kufunga ndege wanaofugwa kama kasuku,mdau anayejua wanauzwa wapi anijulishe
1 Reactions
6 Replies
568 Views
Ndugu zangu habari za Leo!Ningependa kuwaauliza kuhusu biashara ta RED MERCURY(ZEBAKI NYEKUNDU). Nimepata taarifa kuwa hii kitu inatafutwa miaka nenda miaka rudi je ni kweli kitu kama hiii...
0 Reactions
49 Replies
27K Views
Salaams Wapendwa wangu,,....!! Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!! Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!! Mimi...
4 Reactions
283 Replies
33K Views
Habari zenu wana JF! Namshukuru Mungu kwa kunipa nasafasi hii ya kuongezeana maarifa na ujuzi ya kulijenga taifa letu. Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mimi ni mwanafunzi lakini pia...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
1. Majogoo ya Mbegu. 2. Vifaranga wa Mwezi mmoja. 3. Vifaraga wa wiki tatu. 4. Vifaranga wa wiki mbili. 5. Vifaranga wa siku moja wanapatikana kwa order. Kuku wote wamechanjwa na bei...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nahitaji majogoo wa kisasa ili wapande kuku wa kienyeji kupata vifaranga chotara. Kwa mwenye nao hasa maeneo ya Mwanza anijulishe tafadhali ili niweze kununua kutoka kwake.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo? Naombeni msaada wenu kama kuna mtu yoyote mwenye experience juu ya usafirishaji wa matunda nje ya nchi na vibali vyake..
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana janvi kichwa cha habari kinajieleza naombeni ushauri nina pesa hiyo,nipo kijijini nifanye biashara gani jamani, ninakuku hamsini sasa nilikuwa nataka ninunue incubator ili niee nanunua mayai...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Eneo la Posta Mpya ni kioo cha Jiji letu la Dar es salaam.Eneo hilo limegeuzwa eneo la biashara za Kijasilimali za kuuza Chapati maandazi supu mahindi ya kuchoma mitumba n.k.Nilitegemea wakati Wa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naweza kupata wapi mbegu za nyanya za hybrid F1 kwa Daressalaam. Au kwa yeyote anajua maduka ambayo naweza kupata mbegu izo aniambie
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Napenda kujua namna ambayo mtu anaweza kutumia ili kudhibiti uharibikaji wa mayai pindi kuku anapokuwa anaatamia. Pia kama kuku anataga mayai mengi kuliko yale anayoweza kuatamia ni mbinu gani...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Jamani kwa wajuzi wa mambo naomba mnisaidie, nimezoea kuwaona kuku wa kisasa na huwa hawatagi, swali langu vifaranga vyake vinapatikana vipi?
2 Reactions
21 Replies
1K Views
FAHAMU AINA ZA KUKU NA FAIDA ZAKE Kuna aina mbalimbali za kuku ambazo mfugaji anaweza kufuga na kila aina inategemeana na malengo ya mtu husika anayetaka kufanya shughuli hii ya ufugaji, hivyo...
11 Reactions
2 Replies
11K Views
Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa...
16 Reactions
128 Replies
18K Views
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe, Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka...
14 Reactions
64 Replies
6K Views
Wengi tumesikia watu wakisema au kutaja Gundi ya Nyuki, ambayo kwa ufugaji wa Kisasa imeanza kuvunwa Kama zao la Nyuki pia tofauti na Asali. Ili kutambua gundi hii hupatikanaje tunapaswa kujua...
5 Reactions
3 Replies
871 Views
Back
Top Bottom