Wekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao PINE

ya mufindi

JF-Expert Member
Dec 23, 2014
508
738
Ni uwekezaji mzuri, kama umeweka pesa Bank kwenye Fixed Account. Mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa Tsh. 900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka 6. So, hekari moja ina miti 600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani Tsh. 7000.

600*7000=4200000 kila hekari na unapanda tena.

Njoo uwekeze
0716101434

Picha hazitaki ku-upload
 
Kwa hesabu yako sidhani kama inalipa....

mapato baada ya miaka minne 4.2M ; mapato ukigawa kwa kila mwaka 1m..,
Gharama umeweka laki tisa tu ya kununua sidhani kama hakuna gharama nyingine..
 
Kwa hesabu yako sidhani kama inalipa....

mapato baada ya miaka minne 4.2M ; mapato ukigawa kwa kila mwaka 1m..,
Gharama umeweka laki tisa tu ya kununua sidhani kama hakuna gharama nyingine..
Kuna kazi ya kulisafisha shamba (ku pluni miti) kila mwaka, hapo bado majanga ya moto
 
Mufindi kubwa! Hayo mashamba yanapatikana maeneo gani? Mapanda, Ihanu, Ifwagi, Sawala, Luhunga, Mdabulo, Bumilayinga, Kibao, Itona.

Na vipi kuhusu historia ya moto kwenye hayo maeneo? Maana huo mti wa pine ukishika tu moto hugeuka kuwa petroli! Bora hata ya mlingoti.
 
katika uwekezaji huu riski kuu ni majanga ya moto tu ambayo nayo yapo controlled kwa kiasi kikubwa na yanazuilika kwa fire line
pia siyo hesabu za karatasi kwan hupalilii,huweki mbolea wala kumwagilia
Hizi hesabu za kwenye makaratasi ni nzuri sana...
Tafadhali tufahamishe kuna risk gani kubwa kwenye hii biashara maana watu wasiingie kwenye biashara wakiwa na positive thought tu.
 
Mufindi kubwa! Hayo mashamba yanapatikana maeneo gani? Mapanda, Ihanu, Ifwagi, Sawala, Luhunga, Mdabulo, Bumilayinga, Kibao, Itona,........!
Na vipi kuhusu historia ya moto kwenye hayo maeneo? Maana huo mti wa pine ukishika tu moto hugeuka kuwa petroli! Bora hata ya mlingoti.
mashamba yapo kilosa kata ya ihanu moto siku hizi hakuna
 
mkuu risk kubwa ni moto tu japo kwa sasa sio janga kutokana na elimu na patrol ya vikosi vya sao hill japo mwaka jana binafsi niliunguliwa na ekari44
 
ni uwekezaji mzuri ni kama umeweka pesa bank kwenye fixed account
mfano huku mufindi ekari moja utainunua kwa tsh900000 amoja na ardhi miti ikiwa na miaka6 so ekari moja ina miti600 baada ya miaka minne ijayo kila mti utauuza wastani tsh 7000
600*7000=4200000 kila ekari na unapanda tena njoo uwekeze
0716101434
picha hazitak ku upload
Kati ya pine, bodo bodo na mikaratusi ipi yenye soko zuri? Kwann wengi hawapandi mikaratusi?
 
Back
Top Bottom