Mzigo mpya wa Spea za Laptop/ Kompyuta umewasili. Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri...
wadau nina package ambayo itawasaidia watu wengi sana humu ndani kwa kuwasaidia kwenye mambo mengi kwa bei poa sana,
kama wewe ni lawyer,mfanyabiashara,HR,contractor,doctor,mpangaji,mfanyakazi...
ndugu zangu wana JF naombeni mchango wenu wa mawazo kwa hiki ninachofikiria.
last week nimepata approval ya 40 million loan kwa interest rate ya 16% ambayo ntatakiwa kuwa nimemaliza mkopo kwa...
Nikiwa Kama Kijana
Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili.
Kwa Pesa Hzo Niko Njia
Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya:
-Ninafikiria Kununua Digital
Kamera Ili...
BILL NA MELINDA GATES wametangaza dau la atakayeweza kutengeneza choo isiyohitaji maji wala umeme kwa ajili ya nchi zinazoendelea.
Soma Zaidi:
The Bill and Melinda Gates Foundation is on a...
Wakuu,najua benki nyingi siku hizi zinawadai audited financial statements kwa biashara na kampuni zenu kabla hazija-approve hiyo mikopo yenu ya mamia ya mamilioni...
Msiumize vichwa...
Wadau mi nipo mwanza na nimemaliza chuo kikuu mwaka huu na B.A in Public Relations and Marketing, je kwa hapa mwanza au kanda ya ziwa ni biashara gani inaweza kunitoa, mtaji wangu hauzidi laki 5...
Wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii kitu inaitwa mobile marketing. Nina uhakika wote mmeshawahi kukutana nayao, ni pale unapo-pokea message kwenye simu yako ya mkononi ikikupa taarifa ya...
naomba mchangowenu ninapesakidogo mll.2 naitaji mchango wamawazo nataka biashara mbili moja nikufungua duka languo nyingine nikufungua kibanda cha chipsi mkoa morogoro je niipi inaweza kunitoa...
Nina tsh 80m, niko Songea. Nianzishe mradi(miradi) gani ili niuage umasikini? Nisameheni kwa kukopa kabla ya kuwa na wazo kwanza. Ninatakiwa niwe nimezirudisha benki baada ya miaka 15 kuanzia sasa...
wajameni nisaidieni wapi nitapata kuku wa kiajeji kwa ajiri ya kufuga ,mfano kuchi nipatieni na gharama naitaji mitetea kumi na jogoo mmoja.natanguliza shukrani but napatikana Dar .