Msaada:procedures za kuuza vitunguu nairobi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:procedures za kuuza vitunguu nairobi

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Sanjally, Oct 2, 2012.

 1. S

  Sanjally Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau 2saidiane namna ya kuuza vitunguu nairobi,kama kuna mtu anafanya biashara hiyo au mwenye ideas kuhusu hiyo mambo.
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mkuu .... ukihitaji PP Mesh bags kwa ajili ya ku-pack vitunguu na agro-products tuwasiliane ... ni-pm
   
 3. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Habari za Buigiri? Gerald hajambo?
   
 4. S

  Sanjally Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ucjal mdizi,ka vp tupia namba yako ya cm hapo juu
   
 5. S

  Sanjally Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ushapotezana
   
 6. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,695
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haha hha haaa kuna jamaa zangu wapo Dodoma wanalima vitunguu walikuwa wanatafuta soko Nairobi nikajua wewe ni mmoja wao
   
 7. J

  JOHN MASSENZA Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hicho kiyunguu kiko wapi? maana kuna wafanyabiashara wa Kenya wanaokuja kununua vitunguu Tz, na kama unataka kusafirisha mwenyewe...inabidi uwe vizuri kipesa...na uwe na mru unayewasiliana nae (Dalali/ au trader) huko Nairobi..othewise itakusumbua..kwa msaada zaidi tuwasiliane au wacheki jamaa wa Farm Concern International..
   
Loading...