Inakuhusu?..Tafadhari Husika! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuhusu?..Tafadhari Husika!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Majigo, Oct 3, 2012.

 1. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nikiwa Kama Kijana
  Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili.
  Kwa Pesa Hzo Niko Njia
  Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya:

  -Ninafikiria Kununua Digital
  Kamera Ili Niwe Mpiga Picha Mitaani
  -Nifungue Banda La Kuonesha Mpira(video Ninavyo)
  Tafadhari Wakuu.
  Ushauri Wako Tu,Ni Mkombozi Tosha kwangu (niko DAR),Nawasilisha Kwa Kutanguliza Shukrani na Salam !
   
Loading...