Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nauliza kiwanda gani hununua makopo ya maji na juice yaliyotumika kwa wingi? Huuzwa kiasi gani kwa kilo? Mnunuzi anapatikana wapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahan wajumbe ila nlikua naulizia bei ya Bajaj aina ya 4 stroke?iwe used na katika hali nzur na je biashara ya Bajaj inalpa au?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rafiki Yangu Wa Karibu Aliyepo Nje Ya Mipaka Ya Tanzania Anaulizia Kama Kuna Black Market Ya Uranium.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello wana JF ambao mpo huko nje bei ya sangara wenye label ya Eco kwenye supermakert za huko mnanunua shilingi ngapi? Bidhaa ya namna hiyo yenye nembo ninayozungumzia inatoka Tanzania tu hakuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
A Canadian company from Toronto is looking for : Cloves, Cardamon and Black Pepper from Zanzibar and from Mainland. If you have contacts for these products, please, let them know. Their email...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi,nina mpango wa kusajili kampuni ya money transfer itayodili na mpesa na mitandao mingine,shida yangu ni kwamba sina mtaji wa kuanzia,je,nikienda benki naweza kupata bila shida kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimeanzisha kampuni yangu mpya inashughulika na consolidation and deconsolidation(import and export), parcaging, warehousing, door to door delivery na other logistics zinazo husiana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I hope all is well wanajamvi! Ninajishughulisha na masuala ya ujenzi (construction), mimi na wenzangu (baadhi ya kampuni za construction za wazawa) tuna mpango wa kuunganisha nguvu na kuanzisha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hi Due to the challenges facing our Nation, we as Engineers have decided to give what we learn in school back to our fellow Tanzanians by providing them with fast and reliable services in...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hope mko pouwa wana jf. Mimi nina kama 2million na ninataka kufanya biashara lakini sijui nataka exactly biashara ipi. Help me with the business idea.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana bodi habari, Mkuu Mlachake alianzisha uzi siku chache huko nyuma na kuwataja baadhi yetu kuwa tuunganishe nguvu ili tutoke na kitu. Wazo lako halikuokotwa na kunguru bali tulilichukua na...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
habari wanaJF, kwa siku nyingi sasa,nimekuwa nikiwaza kuhusu export business,hasa kwa kutumia usafiri wa ndege,,target countries zangu zikiwa Scandinavian countries,ujerumani,uingereza na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi guys. Naombeni ushauri kuhusu tractors. Tractor aina gani linafaa kulima in most areas in Tanzania? Wapi ninaweza kununu used one? Bei ziko vipi? Naweza kuagiza toka europe/wapi? Asanteni sana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa Dunia Ya Sasa,kila Tasnia Inahitaji Elimu Ili Uweze Kwenda Katika Mstari Wa Mafanikio...Ni Nadra Sana Au Huwezi Kufanikiwa/Kuyataka Mafanikio Wakati Hujafanya Juhudi Za Kutafuta Elimu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau, Nimeona watu wengi katika hii subforum ya Ujasiriamali wanaulizia namna ya kupata mikopo ya kuendesha biashara zao (hasa isiyohitaji kuweka dhamana). Baada ya kuona wengi hawapati majibu...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Nina Tv inch 24 Sony na Fridge ndogo Naombeni mkopo wa tshs 250,000\= Mpaka tarehe 15/12\2012 Alie tayari tuwasiliane plizzzz...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Serious case............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama kuna mtu anafanya kazi ktk makampuni ya uchimbaji wa MADINI au anayafahamu yalipo hayo makampuni,,tuwasiliane kuna plot yenye madini so...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, naomba kufahamishwa kama leo jumapili tarehe 11/11 naweza kupata huduma ya kupata bima ya kagari kangu, ninasafahari ya mkoni traffic wasije nisumbu, any one call me 0782 107 560
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam Mwanajamii, Kati ya Vitu vinavyowapa shida wajasiliamali wengi wa hapa nchini ni ukosefu wa mtaji wa kutosha, na hivyo kuamua kutafuta mikopo kutoka taasisi za fedha. Katika utafiti wangu...
5 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom