Are you positive minded?

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,260
1,225
I am working with an American company, currently expanding in Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya and we are looking for open positively minded people, interested in business that would like to earn an extra 500,000 to 2,000,000 per month working part time without compromising their current schedule.This business has helped me a lot, I think it can work for you as well. If you are interested to get more information let me know. Thanks and be :happy:.
NB: Only positive and hard working parties.
 
Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
2,902
2,000
FOREVER NINI SIJUI OR AROE VERA NINI SIJUI mnachonifurahisha nyie jamaa ni maneno yenu matamu baaaaaaaaaasi
 
kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,260
1,225
FOREVER NINI SIJUI OR AROE VERA NINI SIJUI mnachonifurahisha nyie jamaa ni maneno yenu matamu baaaaaaaaaasi
If some has made it, I follow his way. If you are job oriented and negative, you can just pass the thread. Let positive people and non-job oriented find their way. Be flexible, this is the 21st century.
 
Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
2,902
2,000
If some has made it, I follow his way. If you are job oriented and negative, you can just pass the thread. Let positive people and non-job oriented find their way. Be flexible, this is the 21st century.
yees scam of the 21st century by the name of positive mind people.
 
kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,260
1,225
Wizi mtupu.
Kaka uliibiwa sh. ngapi? Unaweza ukaruka thread kama huna cha kuchangia. Elimu yenu imewafunga kuwa watumwa wa "Get a good degree, and find a good job". Ukweli ni kwamba, hakuna aliyetajirika kwa kufanya kazi hata benk kuu. Mnasubiri mpate kazi mje muibe. Mtasubiri saana. I am an Eagle, I am not distracted by pigeons like .......
 
Attachments

Watnzania kwa kujifanya kujua, eti scum! Scum ni mawazo yako mgando yanayosikia ya mtaa na kuya publish. Don't be be like someone I can't mention.
 
kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,260
1,225
Mh!jamani,kweli atafutae hachoki!kumbe hawa bado wapo!?
Mjasiriamali ni mtu wa ajabu sana. Laiti wangesiliza maneno ya watumwa wa kazi, hata tuzo hii wasingeipata. Watu wanaendelea kutajirika huku wengine waking'ang'ana na kazi kama zao vile. Wape pole sana wanye dhana za kale.
Tanzanians are good give ups because of our Find good jo mentality. But the truth remains, no employee will become rich by his job.
Watch this please.
NEGATIVE PEOPLE!! [Les Brown] - YouTube
 
kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
195
Watnzania kwa kujifanya kujua, eti scum! Scum ni mawazo yako mgando yanayosikia ya mtaa na kuya publish. Don't be belike someone I can't mention.

HAPO INAONESHA TOSHA KUWA JAMAA HAMNAZO, MWENYEKAZI YAKE HAWEZI JIBUHIVI ATAJARIBU KUELIMSHA SIKUTOA MAJIBU MABOVU. KAMA AKILIZAKO ZINA AKILI. TUMIA ELIMYAKO KUMKOMVIS MTEJA WAKO NASI BADALA YAKE UNALETA MALUMBANO KUJIBIZANA
 
komamgo

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
1,501
2,000
I am working with an American company, currently expanding in Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya and we are looking for open
positively minded people, interestedain business that would like to earn aan extra 500,000 to 2,000,000 per month working part time without compromising their current schedule.This business has helped me a lot, I think it can work for you as well. If you are interested to get more information let me know. Thanks and be
:happy:.
NB: Only positive and hard working parties.
Shetani wa. Uzembe Yuko kazini hapo
Wewe shetani nendaa shamba Ukalime mvua
Zimeanza kinyesha
 
Ngagarupalu

Senior Member
Oct 13, 2012
156
0
Mjasiriamali ni mtu wa ajabu sana. Laiti wangesiliza maneno ya watumwa wa kazi, hata tuzo hii wasingeipata. Watu wanaendelea kutajirika huku wengine waking'ang'ana na kazi kama zao vile. Wape pole sana wanye dhana za kale.
Tanzanians are good give ups because of our Find good jo mentality. But the truth remains, no employee will become rich by his job.
Watch this please.

Positive nikuhuku waaha hao, mkuu wew ni PM utanikuta nimejaaa hapa Bongo. Asante kwa taarifa, nasubiri kwa hamu.
Wakatabahu
 
matumbo

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
7,190
1,250
Hawa watakuwa oriflame hawa,wana hali mbaya sana wabongo wameshastukia wizi wao..na tapeli wao namba moja James!
 
Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
2,902
2,000
Watnzania kwa kujifanya kujua, eti scum! Scum ni mawazo yako mgando yanayosikia ya mtaa na kuya publish. Don't be be like someone I can't mention.
Acha maneno yako mbofu mbofu wewe ukweli ni kuwa biashara yenu ni ya kitapeli usikimbilie ooh watu wanapenda kuajiliwa we unajuaje kama mimi niko kwenye ofisi yangu au ya kuajiliwa. kama ni biashara ya kuaminika kwa nini mtumie maneno ya uongo uongo, hata tangazo lako halijasema ni biashara gani hasa unayofanya zaidi ya kuwavutia watu kwa maneno matam oooh positive minded. ujizi tu
 
kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,260
1,225
Acha maneno yako mbofu mbofu wewe ukweli ni kuwa biashara yenu ni ya kitapeli usikimbilie ooh watu wanapenda kuajiliwa we unajuaje kama mimi niko kwenye ofisi yangu au ya kuajiliwa. kama ni biashara ya kuaminika kwa nini mtumie maneno ya uongo uongo, hata tangazo lako halijasema ni biashara gani hasa unayofanya zaidi ya kuwavutia watu kwa maneno matam oooh positive minded. ujizi tu
Angalia tunavoendelea kutapeli wa Tz. Ukweli ni kwamba wewe kama huna ujasiri wa kubadilika na ulishindwa, basi unadhani watu wote ni kama wewe, unasema matapeli. Sijawahi kuona matapeli wakipata tuzo nilizopost hapa. Acheni kuwaadaa watanzania bila kufanya research. We kama msomi njoo uone tunavofanya then uwaambie watu ukweli.
 
Attachments

Top Bottom