Mihogo mihogo mihogo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mihogo mihogo mihogo!

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Catherine, Sep 12, 2012.

 1. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hellow! Naomba kujua market price ya mihogo ipo vipi. Tuna eka tisa tunahitaji kuuza ila hatujui chochote.
  Thanks in advance!
   
 2. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  uko mkoa wa pwani? Ili nikuelekeze pa kwenda kupata data vzr,
   
 3. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  ni mbegu ipi chungu au tamu ? polisi nao walisha acha kutumia wanga kunyoosha sare zao.
   
 4. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  sipo pwani kijana ila naomba unielekeza, tapata tu mtu wa kufika hapo.
   
 5. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni tamu.
   
 6. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ok catherine, nilifanya utafiti juu ya soko hilo, sema bado cjamalizia, ila ss kwa data nzuri na za uhakika zaidi nenda kibaha kuna shirika linaitwa sugar research, wana deal na masuala ya mihogo, hapo utapata majibu ya maswali yako yote.
   
 7. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Soko la mhogo ni kubwa sana, isipokuwa sio kwa kiwango kidogo hivyo. Mhogo ndio chakula kikuu Rwanda na Burundi, na huko Mhogo Una soko sana. Labda uungane na wenzako wenye tenda huko.
   
 8. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  kama una mihogo mitamu soko ni kubwa kwenye miji kama Dar , Mwanza
   
 9. M

  Malila JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Mtwangie PM Mzuzu atakupa abc za mhogo kwa sasa.Angalia uzi wa Project funding ktk jukwaa hili.
   
 10. r

  rwehu Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisikia ati
  Bahresa ananunua mihogo kwa ajili ya kutengeneza biscut jaribu..
   
 11. o

  obseva JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Kimsingi ni kweli soko la Muhogo ni kubwa sana japo kunachangamoto kiasi hasa soko likiwa linahitaji muhogo mkavu(UNGA,CHIPS,Starch) kwa kiwango kikubwa sana, kiasi kwamba wazalishaji wengi bado hajafikia hapo.

  kwa mahitaji yako nafikiri kama unauwezo badili huo muhogo mbichi uwe mkavu (unga au chips ), ilikukusaidia kupata soko rahisi zaidi, na kama utapenda kuuza mbichi wapo wanunuzi kwenye masoko Ya tandale na Temeke sterior japo bei zao zinafuatana na size ya Muhogo,aina ya muhogo, kipindi cha uvunaji na Umri wa muhogo.

  Na kama upo Pwani, tembelea Mkuranga kwa habari zaidi.
   
 12. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Watafute VML Global Tanzania Ltd
   
 13. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2013
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa ninavyofahamu mihogo kwa bei ya jumla kuuza ni kati ya sh 20000 na 40000 kwa kiroba cha kilo 50 ikitegemeana na muda wa soko (wakati wa mavuno mengi bei hushuka na kinyume chake ni sahihi).
   
 14. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2013
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaweza kuwa na contact details zao?
   
Loading...