Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wana JF wale wenye utaalamu na uzoefu wa kuandika Proporsala ya Media Organizer kwenye Mashirika na makampuni Mbalimbali, namaanisha kwamba nataka kuwa Afisa habari wa kujitegemea, hivyo naombeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana jamii naomba ushauri kuhusu biashara ya mashine ya kuranda na kuchana mbao, kwa anayeijua vizuri anishauri nataka kuianzisha, na km unajua sehemu ninapoweza kupata mashine za kuchana na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
helow Wadau mm ni mfanyabiashara wa kati, nnaenunua tikiti maji na ku_supply jijini Dar-es-salaam. Kwa yeyote anaefanya kilimo hiki, tuwasiliane tujenge uchumi wetu. Biashara hii inafaida kubwa...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi wanaJF. Nina leseni mbili za uchimbaji mdogo (primary mining licence) kwa ajili kuchimba dhahabu Magambazi wilaya ya Handeni, kwenye eneo la hekta 10. Kama kuna mtu ana interest tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nilikuwa nataka kujua process ya kufungua biashara au kampuni na brela.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzigo mpya wa Spea za Laptop/ Kompyuta umewasili. Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kama kuna mtu anahitaji huduma hizi za accounting na ushauri wa kibiashara basi tunamkaribisha atuone -
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nina package ambayo itawasaidia watu wengi sana humu ndani kwa kuwasaidia kwenye mambo mengi kwa bei poa sana, kama wewe ni lawyer,mfanyabiashara,HR,contractor,doctor,mpangaji,mfanyakazi...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
je kuna ukweli hapo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Poleni na mihangaiko ya maisha wana jf naomba kwa anayefahamu bei ya alizeti jumla na rejareja kwa dar es salaam. Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
wakuu anaijua biashara ya kuuza airtickets naomba anijuze yafuatayo: Namna ya kuanzisha Kama inalipa Mtaji unaohitajika Natanguza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ndugu zangu wana JF naombeni mchango wenu wa mawazo kwa hiki ninachofikiria. last week nimepata approval ya 40 million loan kwa interest rate ya 16% ambayo ntatakiwa kuwa nimemaliza mkopo kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikiwa Kama Kijana Ninayejiandaa Na Maisha Ktk Ujasiriamali,Mtaji Wangu Ni Laki Mbili. Kwa Pesa Hzo Niko Njia Panda,Kipi Chenye Soko Kubwa Kati Ya: -Ninafikiria Kununua Digital Kamera Ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau 2saidiane namna ya kuuza vitunguu nairobi,kama kuna mtu anafanya biashara hiyo au mwenye ideas kuhusu hiyo mambo.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
BILL NA MELINDA GATES wametangaza dau la atakayeweza kutengeneza choo isiyohitaji maji wala umeme kwa ajili ya nchi zinazoendelea. Soma Zaidi: The Bill and Melinda Gates Foundation is on a...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana forum, nataka nifanye biashara ila sija jua ni biashara gani nifanye hapa dar, nina sh milion 3 kama mtaji. Naomba mchanganuo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu,najua benki nyingi siku hizi zinawadai audited financial statements kwa biashara na kampuni zenu kabla hazija-approve hiyo mikopo yenu ya mamia ya mamilioni... Msiumize vichwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mi nipo mwanza na nimemaliza chuo kikuu mwaka huu na B.A in Public Relations and Marketing, je kwa hapa mwanza au kanda ya ziwa ni biashara gani inaweza kunitoa, mtaji wangu hauzidi laki 5...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naomba maoni yenu kuhusiana na hii kitu inaitwa mobile marketing. Nina uhakika wote mmeshawahi kukutana nayao, ni pale unapo-pokea message kwenye simu yako ya mkononi ikikupa taarifa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom