Nina Kheri Kumi Na Tano Za Ardhi Yenye Rutuba Ninamiliki Kupitia Hati Miliki Ya Kimila, Sasa Nataka Kulima Mahindi Na Alizeti, Je Kupitia Hati Miliki Yangu Ya Kimila Naweza Pata Mkopo Bank Yeyote?
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya...
Mm ni mjasiriamali kijana ninatengeneza vikoi vya batik vyenye maua mazuri kuliko hapaDar,tie&die pia batik print naomba mnisadie walipo wanunuzi au hata kwenu wadau kunichangia ntakuletea...
Mbeya. Baadhi ya wanawake wajasiriamali wadogo mkoani Mbeya, wameomba Serikali na asasi za fedha kuwapatia elimu ya mikopo ili kukopa na kuendeleza miradi.
Wakizungumza mjini hapa jana, walisema...
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Stephen Mangana ametoa wito kwa Watanzania kuwekeza kwenye vikundi vya kuweka na kukopa (Vicoba), ambavyo alivitaja kama nguzo ya...
hi friends,nina kiasi cha sh million 6.5 ninataka kufanya biashara bt cjajua ni biasha gani nifanye,bt kwa upande mwingene na kwautafiti niliofanya nilitaka kununua bajaji izunguke mjini,so wenye...
Kwanza nianze kwa kuwasalimu ndugu zangu.me kijana nimeitimu diploma.. Nimepata mtaji wa milioni 3 na naitaji kweli kuwa mkulima..ila sijajua niaze vp?wapi nitalima?kivipi nitavuna?wapi...
Habari wanajf
Natumai mko fiti na mnaendelea na shughuli zenu
Naitaji mnisaidie bei za vifaa hivi kwani nataka kuvinunua kwa ajili ya biashara yangu ambayo nataka kuifugua hivi karibuni sasa...
Waungwana me ninaishi na kufanyakazi China, lakini bado nataka kujishughulisha na business huko bongo, hivi ni business gani inalipa huko? Tatizo sijajua kama kuna business gani naweza kufanya...
Habari wakuu, naomba mwenye kujua biashara ya kuuza na kusupply vitabu na vifaa vya maabara katika mashule mbalimbali anisaidie mwongozo kuhusuiana na biashara hii kwa yale anayoyajua. Natanguliza...
Habari za leo wadau!
Natafuta wateja wa chumvi(un processed) nimevuna zaidi ya tani2.....kwa anae hitaji au anae jua wapi naweza pata soko naomba michango yenu wadau.
Wakuu,
Kuna mtu yupo kijijini anahitaji matairi ya magari yaliyotumika lakini sio makukuu kwa ajili ya kutengenezea mikokoteni. Ameniambia size 16. Kwa hiyo naulizia upatikanaji wake hapa mjini...
Habari wanajukwaa napata hiz machine kwa bei gani? Kama kuna mtu anajua bei zake anijuze, Multpurpose coppier, Scaner, Printer, Lamination and Binding.
Ninampango wa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji kwenye eneo la ekari kumi kuanzia 2013. Sehemu nitakayochimba kisima haina umeme nategemea kutumia solar kuvuta maji chini ya ardhi. Mazao ya...
Salaaaam...
naomba ushauri, nataka kuanzisha kampuni ya kuandaa,kutengeneza na kusambaza kazi za muziki/sherehe/matukio/documentaries n.k kwa hatua maana sina uzoefu wa kazi hii.
hatua tya kwanza...
Wadau JF Heshima mbele,
Naomba mwenye uzoefu wa biashara ya mazao toka mikoani mahindi,mpunga,kunde,alizeti!anisaidie nafanya utafiti nami niingie humo!naomba mwongozo wadau!
Wasalam wana jf.
Niombeni mwenye kuku wa kienyeji ambao hawajachanganywa(cross breeding) nawahitaji kwa ajili ya kuwafunga na pia majogoo 3 makubwa.
sifa:
1: Wawe awajataga ila wako karibu na...