Wakuu habarini zenu,
Napenda sana biashara ya nguo, ipo tu damuni. Nimejarbu enda kutafuta nguo nchi Uganda mara kama tano hivi ila nimeona yale maduka na mimi sio mzoefu sana. Kampala msaada...
Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na...
Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na...
Hello JF members,
Kuna issue ya ku-export bidhaa fulani kwenda EU (kwa kutumia ndege). Sasa naomba mtu mwenye uzoefu na shughuli kama hii anipe insight information kidogo.
Ningependa kujua...
Kuna jamaa yangu amenunua truck na trailers kutoka Netherlands kwenye kampuni flan hivi.
Aliwasiliana nao na kutuma pesa toka mwezi juni mwanzoni, tatizo limekuja kwenye shipment ya hizo trucks...
Hi guyz, me ni mwanamke mjasiriamali. Nilipatwa na mitihan fulan ya kimaisha lakn namshukuru mwenyez mungu nimesimama tena kwa miguu yangu. Lengo la kuja kwenu ni kuomba msaada wa kukopeshwa elf50...
jameni wanajasilimari , naomba msaada kama kuna mtu anajua
garama za kutengeneza kipindi cha tv cha dakika 60
garama cha kurusha kipindi cha tv cha dakika 60, na maaanisha airtime charges...
Ndugu wadau naomba ushaur wenu,nna mtaj wa sh 1ml nataka kuanzisha biashara ,je n biashara gan inanfaa?nakwamba itawah kunpatia faida kubwa kwa wakat mfupi?ASANTEN
hi
we are please to announce new audio books available:
1. 7 Habits Of Highly Effective People By: Stephen R. C.
2. Inferno by Dan Brown
3. Zealot: The Life and Times of Jesus of Nazareth.
4...
Nimekuja kwenu members mnisaidie, nna idea yangu ya kuja kuwa na duka kubwa la vitu vya mapambo ya nyumba, yani mapazia, mashuka, maua, stand za maua, makapet, doormats, nk. Kusema hii biashara...
Wadau naomba elimu kuhusu hili. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa Kuku wa kisasa (broilers na mayai ya Kuku hawa wa kisasa) si wazuri kwa afya. Ila Kiukweli mi bonge la mpenzi wa vyuku yaani...
Habari wana jamvi,kutokana na ajira kuwa ngumu familia imeamua kunipa mtaji wa milioni kumi ili niweze kujikwamua kiuchumi,naombeni msaada wa mawazo ni aina gani ya biashara na mchanganuo...
Most people know Sean Hyman from his regular appearances on Fox Business, CNBC, and Bloomberg Television, but what they dont know is that Sean is a former pastor, and that his secret to...
Moja ya changamoto ya biashara ni uwezo wa kutunza kumbu kumbu sahihi za mauzo na manunuzi ya bidhaa pamoja na uwezo wa kujua mauzo ya siku,mwezi na historia nzima ya tangu uanzishe biashara yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.