Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

UTANGULIZI Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote...
68 Reactions
212 Replies
117K Views
Wadau, Naomba kujua siku zipi ni siku za mnada wa mifugo kwa mkata-handeni, natafuta san ambuzi wa kutosha. Natanguliza shukurani kubwa!
2 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu. 2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
1 Reactions
4 Replies
374 Views
Wadau naomba msaada titanium anayefahamu mnada wa mifugo morogoro kesho Jumatano, Alhamisi na Ijumaa unakuwa wapi?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali ya China imetoa kibali Kwa wanasagansi wake kuanza uzalishaji wa mazao yanayotumiwa Kwa Wingi na watu Kwa teknolonia ya GMO. Mazao Makuu yaliyolengwa ni Soybeans,Mahindi (Yellow &Sweet...
0 Reactions
4 Replies
709 Views
In Tanzania, there are many myths and misconceptions surrounding the consumption of exotic poultry, particularly broilers, which limit their consumption in various regions. These beliefs are often...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass) Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
2 Reactions
6 Replies
656 Views
Jamani naombeni msaada nimepanda majani ya ukoka nyumbani kwangu ili niwe na bustani nzuri inayovutia na ukijani mzuri majani niliyopanda ni yale madogo madogo ambayo hayaendi juu yanakua kama...
2 Reactions
11 Replies
8K Views
SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni...
2 Reactions
3 Replies
475 Views
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Naomba kama kuna mtu anauelewa juu ya kilimo cha matunda machungwa kwa mikoa ya Tanga, Kibaha na morogoro (hata sehemu moja). Anisaidie kunijuza juu ya...
3 Reactions
26 Replies
13K Views
Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
3 Reactions
8 Replies
631 Views
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameendelea na jitihada za kuhamasisha wakulima kulima kilimo cha kisasa cha pamba ili kuongeza mavuno na kuinua uchumi wa wakulima na taifa kwa ujumla...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Habarini wakulima wenzangu. Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli. Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua...
2 Reactions
7 Replies
895 Views
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa...
7 Reactions
48 Replies
7K Views
Nina shamba ekari 15 lililopo Mbeya. Natafuta mtu wa kuunganisha naye nguvu tufanye kilimo cha alizeti. Kilimo cha umwagiliaji pia kinaweza kufanyika kwakua shambani kuna miti inayotoa maji.
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli. Majibu tuliyo nayo niya written tu
2 Reactions
15 Replies
884 Views
Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom