Habari wanaungwana,
Ningependa kujua zaidi kuhusu biashara ya bwawa la samaki. Ningependa kujuzwa kuhusu yafuatayo:
1. Ni samaki gani ni bora kwa biashara hii?
2. Gharama za kuanzisha bwawa ni...
Kwa mliokwenda nchi za nje mfano bara la asia uwezi kuziona hizi pilipili za mwendokasi.
Mfano China ni walaji wazuri wa pilipili, ukikutana nao sokoni uwezi kuona wananunua hii jamii ya pilipili...
RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa...
Ushawahi kujiuliza Ama kusikia mtu akisema, “ Mbona nimechanja na Kuku wangu bado wakaugua na Kufa!”
Ama Mganga/Daktari analaumiwa “Mbona Mbwa/paka wangu ameugua na Chanjo ulitoa?” Kabla ya kupata...
Kwa wale wenzetu wenye hela za mtaji,mvua kwa Sasa zinasusua,hivyo mazao inavyoonekana yatakuwa hafifu.
Kuna uwezekano mkubwa wa Njaa,hivyo kama unamtaji ni kuweka tayari magunia na stoo ya...
🌽🥦Kilimo mchanganyiko🍅🍏
Ni mazoezi ya kilimo ambapo mkulima hupanda mazao na kufuga mifugo kwa wakati mmoja kwenye kipande kimoja cha ardhi. Mfumo huu unaunganisha kilimo cha mazao na ufugaji...
FAHAMU KUHUSU KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga (Lushoto), Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha.
Hoho hutumika katika kutengeneza rangi za asili...
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nauza miche 2000 ya pili pili aina ya loleza kwa bei ya mche mmoja tzsh 100 , ipo tayari kwa kupandwa na ime hudumiwa kwa mfumo wa kisasa
Location Chamwino...
Mimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA
▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara
▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi...
Habari!
Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri...
Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja.
Tunaendelea kuupiga mwingi.
Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi
=========
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la Utambuzi wa wanyama sasa litafanyika bila gharama yoyote kutoka kwa wafugaji baada ya Serikali kuamua kugharamia zoezi hilo...
Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa.
sasa basi lipo...
Jumapili, Februari 9, 2025
WAKULIMA WAPEWA UJUZI KUINGIA MASOKO YA NJE
https://m.youtube.com/watch?v=g4lX5ji0qBQ
Ukosefu wa maarifa na ujuzi miongoni mwa Watanzania, hususan wale walioko katika...
Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres).
Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa...
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa
wakati wa manunuzi wa chombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.