Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n...
4 Reactions
21 Replies
7K Views
Kilimo cha chai katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, kilianza wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwanzoni mwa karne ya 20. Wakati huo, mashamba ya chai yalianzishwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
🔥SAZI AGRI SOLUTIONS! 🔥 🌿 SAZI Agri Solutions ni mshirika wako bora katika mapinduzi ya kilimo! Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya kilimo kwa teknolojia za kisasa na ubunifu wa...
3 Reactions
2 Replies
407 Views
🐔Coccidiosis ni Nini? Ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vidogo (coccidia) kwenye matumbo ya kuku. Huenea haraka na kuwafanya kuku wagonjwa! ⚠️ Sababu za Coccidiosis Mazingira machafu (mavi...
6 Reactions
0 Replies
837 Views
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi. Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao. Huu...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita...
1 Reactions
7 Replies
893 Views
Wakuu, Binafsi huwa na Bet sana na bahati nzuri nimemuotea muhindi kama Milioni 40 Na sasa nataka kubet kwenye kilimo Mwaka huu naingia shambani kweli kweli sio utani, naingia FRONT na sio simu...
56 Reactions
302 Replies
50K Views
Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
JF salaam 🙏 Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler Sijajua changamoto ni...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Hivi huko wapendwa wangu munakula vipi sikukuu ya leo? Maana huku sado la nyanya ni 10,000/= sawa na ongezeko la asilimia 150%
0 Reactions
4 Replies
559 Views
Ndugu wanajanvi Salaam, Nahitaji mtu alie na shamba tushirikiane Mimi nitaweka nguvu zangu na usimamizi asilimia zote endapo yeye atakuwa na majukumu mengine. Lengo langu ni kupambana na kupata...
3 Reactions
6 Replies
769 Views
Wataalamu naombeni msaada huu ugonjwa naona ni mgeni kwangu vifaranga wanavimba macho na midomo alafu sio kama ile coryza uvimbe wake ni mgumu hautoi chochote ukibinya na sio kwamba hii ni ndui na...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
0 Reactions
10 Replies
660 Views
Hili jambo nimekuwa nikijiuliza na sijawahi kupata ufumbuzi.. Naombeni msaada wadau. Ni kosa kisheria kuvua, kusafirisha na kuuza sangara (Nile Perch) wa ziwa Victoria wenye urefu chini ya...
0 Reactions
4 Replies
608 Views
Mimi ni kijana ambaye Nina nia ya kuwekeza kwenye kilimo Cha nyanya ila Sina elimu kuhusu nyanya vizuri. Napenda kujua je naweza kupanda nyanya mkoa wa njombe ? Na kama inawezekana ni mwezi gani...
4 Reactions
3 Replies
637 Views
Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"! Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe. Katika hiyo...
13 Reactions
116 Replies
8K Views
Itoshe kusema mko poa wakuu. Leo nimeona si vibaya ni share nanyi Kwa uchache japo aina4 za kuku wa kienyeji japo najua/mnajua Kuna aina nyingi sana za kuku Hawa. Mimi nitawajia Hizi aina 4...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Naomba mnijuze jinsi ya kuzuia magonjwa ya vifaranga wa kuku wa kienyeji maana kila nikifuga vifaranga wanapata vidonda kuzunguka macho na vinakufa
4 Reactions
14 Replies
9K Views
WANA KILIMO NAOMBA KUJUA ZAO LA DENGU JINSI YA KULIMA KIASI CHA MAVUNO NA BEI
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom