Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa.
Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA...
🔥🔥Chukua kitunguu swaumu kimoja kizima ...twanga na changanya na maji lita 1....hivyo kama maji ni lita 10 utatumia vitunguu 10...kisha wacha itulizane kwa masaa 6...kisha chuja,weka kwenye bomba...
Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona...
UTANGULIZI
Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote...
1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu.
2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa...
Serikali ya China imetoa kibali Kwa wanasagansi wake kuanza uzalishaji wa mazao yanayotumiwa Kwa Wingi na watu Kwa teknolonia ya GMO.
Mazao Makuu yaliyolengwa ni Soybeans,Mahindi (Yellow &Sweet...
In Tanzania, there are many myths and misconceptions surrounding the consumption of exotic poultry, particularly broilers, which limit their consumption in various regions. These beliefs are often...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass)
Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua
Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
SIO MBAYA wajenxi kukumbushana wapendwa
Najua mpaka tunajenga tunahangaika sana sana kuweza kujenga
Hizi changamoto utazikuta wakati WA ujenzi
Ukiwa unaenda kununua mbao hasa pale buguruni...
Poleni na mihangaiko ya kila siku.
Naomba kama kuna mtu anauelewa juu ya kilimo cha matunda machungwa kwa mikoa ya Tanga, Kibaha na morogoro (hata sehemu moja).
Anisaidie kunijuza juu ya...
Wasalaam.
Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna.
Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka
Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, ameendelea na jitihada za kuhamasisha wakulima kulima kilimo cha kisasa cha pamba ili kuongeza mavuno na kuinua uchumi wa wakulima na taifa kwa ujumla...
Habarini wakulima wenzangu.
Mimi mkulima mpya (form one) nimejiandaa haswaa na kilimo kipindi hiki kuelekea mvua za vuli.
Hofu yangu kuu ni mvua kwani kilimo nilichopanga kufanya kinategemea mvua...
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa...
Nina shamba ekari 15 lililopo Mbeya. Natafuta mtu wa kuunganisha naye nguvu tufanye kilimo cha alizeti.
Kilimo cha umwagiliaji pia kinaweza kufanyika kwakua shambani kuna miti inayotoa maji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.