Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya...
Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu...
Usifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida
Achana na mbwa koko hawa wala mavi au...
Wanajamii habari zenu ;;??
Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine.
Yoyote...
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa...
Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu,
Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa...
Habarini wana JF.
Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza...
Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka...
Ekari 14 za mpunga kuzihudumia ni gharama wakuu kama wewe ni mkulima wa mpunga unaelewa nini napitia
Kwa ufupi mpunga bila maji ni kamari na Sasa mpunga una miezi minne lakini hakuna dalili ya...
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea.
Altitude yake ni m800...
To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market...
Wadau habari.
Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda...
Siwaiti wakuu, twende kwenye mada.
Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko.
Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta.
Nilienda mwaka...
Members natumain ni wazima.
Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa...
Habarini wakuu, nina project ya kufuaga niliiyanza muda ila nimebaini changamoto za yule kijana anaekaa pale shambani, naona sio msimamizi mzuri harafu utakuta bata anataga mayai ila yeye...
Changamoto ya ufugaji wa mbuzi hasa wa Maziwa ni quality ya mbuzi, make wengi wamechakachuliwa mbaya na wengine wamepandikizwa na wa Kienyeji hivyo ni full uchakachuaji.
Sasa tunaweza pata mbegu...
Wakuu nimetota sehemu. Hivyo sote kwa pamoja tujifunze. Karibuni.
Uzalishaji wa mayai ni sekta muhimu duniani kote, na kuku wa mayai wana nafasi ya msingi katika sekta hii. Kuna aina kadhaa za...
Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.