Hahaha!!! naona jinsi unavoshangaa na unataka kuniandalia bonge la tusi. Yaani hapo unajiuliza bia moja ya Tzs 2,500 inawezaje kubadili maisha ya mtu?
Penginepo wewe ni mlevi kama mimi katika...
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia...
Naombeni msaada wapi naweza pata chupa zinnazo weza kuingia kimiminika za 70ML &100ML nipo dar es salaam...
msaada wenu niweze kamilisha order ya kusambaza mafuta ya kupaka
Wadau natanguliza salam zangu kwenu...napenda kusaidiwa jinsi yakupata mzigo wa rim papers za A4 ambazo nitaweza kuziuza kwa jumla...kwa kuzisambaza katika mastationaries APA mjini...nipo...
Habari ndugu zangu nilikua naomba msaada wa kujua bei za mashine za kufyatulia matofali. Ya aina zote ya kuchoma na kawaida ikiwezekana na mahali zinapopatikana. Asante
habari za majukumu wanajukwaaa.
kama tittle inavyojieleza
naomba ushauri juu ya mashine nzuri ya kutengenezea popcorn na bei zake,pia sehem nnayoweza kuzipata mashine za uhakika,na...
Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
Kazi ishakuwa kadhia,mwaka ushapita pasi kuwa na ajira japo Degree ninayo,tena ya Uchumi. Nimedhamiria kujiajiri hata kwa kuficha vyeti,Ombi langu, je biashara ipi ya halali na mtaji kiasi gani...
Heshima yenu wakubwa.
Wakubwa nina mil 10 ya kwenda kununua nguo china na kuja kuuza hapa mjini. Yupo rafiki yangu ambaye nyumba zetu zimepakana ameahidi kwenda na mimi na kunisadia huko China na...
Habarini wanaJF,
Samahani naomba kufahamu kwamba ni zao gani ambalo Lina mzunguko mkubwa sokoni kwa hapa Tanzania. Ninataka kuanzisha kilimo mda sio mrefu, Ila sasa sijajua kwa kipindi hiki in zao...
wadau mwaka huu baada ya kusoma michango ya baadhi ya wadau niliamua kujiingiiza kwenye hiki kilimo hapa nakaribia kuvuna naomba ambae anaweza kujua soko zuri la vitunguu anijulishe nimelima mbeya...