Habari jf napenda kujua soko la dhahabu dar kwa watu wanao rangua gram 1 sh. Ngapi? Je wanunuzi wapo wa uhakika
Aisee nyie wa mkoani tabu sana.
Yaani neno Kurangua hamjui sio.
Ni kununua kwa jumla,
Au unaweza kusema kulangua,yote ni the same,watu wa Kigoma,Tabora,Rukwa,Mwanza nk hutumia neno Kurangua.
Naomba niongezee mkuu,kurangua/kulangua ni kununua kwa jumla lakini kwa bei ya kulalia,anayelaliwa hapa mara nyingi ni muuzaji