Zao ambalo liko juu kwenye masoko nchini

Flexi lady

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
293
203
Habarini wanaJF,
Samahani naomba kufahamu kwamba ni zao gani ambalo Lina mzunguko mkubwa sokoni kwa hapa Tanzania. Ninataka kuanzisha kilimo mda sio mrefu, Ila sasa sijajua kwa kipindi hiki in zao gani ambalo linakubalika sana sokoni.
 
Kila zao linalipa.

Uamuzi ni wako tu.
 
kila zao linalipa ila linategemea na muda. kuna muda mwingine zao linakuwa limefurika sokoni hapo bei huwa inashuka lakini zao hilo hilo linapotea wakati fulani hapo ndipo linapolipa. Hivyo hakikisha unaenda na wakati
 
Lima Tumbaku Mkuu ndio zao linaloongoza kuingiza kipato nchini likifuatiwa na korosho ingawa sina uhakika na muda wake wa mavuno.
 
Back
Top Bottom