Tunauza kuku wa kienyeji kutoka singida bei 13000.karibuni sana
Tunauza kuku wakubwa si vifaranga
Tunauza kuku wa kienyeji kutoka singida bei 13000.karibuni sana
Mkuu samahani naomba kuuliza, garama zs kusafirisha kuku kutoka singida mpaka Dar let say kuku 50 hivi kwa malori/ basi ni shilling ngap? Nataka nikatafute huko kuku wa kienyeji wa kufuga. Na VIP gharama ya kuku huko anayekaribia kutaga ni shilling ngapi?Tunauza kuku wa kienyeji kutoka singida bei 13000.karibuni sana