Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari zenu ndugu zangu? natumai nyote muwazima. Kama kichwa kinavyojieleza, kuna kampuni nimebahatika kufanya mawasiliano nayo ina uhitaji mkubwa wa mayai. Zinahitajika tray 2000 kwa siku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajumbe,Naomba kujuzwa zao gan naweza panda December wakati wa mavuno soko litakuwa poa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kichwa cha habari, naendelea kufanya Utafiti kuhusu mahindi madogo ya njao yanayotumika kutengenezea Popcorn. kwa kiasi kikubwa mahindi haya yanatoka nje ya Nchi kwa sasa . mwenye kujua je mahindi...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu nina shida ya Vifaranga, au bata mzinga pia ndege wengine wafugwao majumbani lakini si Kuku,Kanga na bata wa kawaida. Wapi naweza kuwapata na bei zao zikoje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mhe Waziri wa kilimo na uvuvi, nakusalimu kutoka morogoro, ifakara, kijiji kinaitwa KIBEREGE, mimi ni mtoa huduma za kukusanya madeni kwa vyama vya ushirika, chini ya Tume ya ushirikanchini mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kufamu kama lipo soko la maroba chakavu yaliotumika kuhifadhi mahindi Naomba kufamu kama lipo soko la maroba
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Watanzania wenzangu mimi ni kijana mwenye malengo makubwa maishani,umri wangu ni around 20's.Nimehangaika sana kupata mtaji hatimaye nimefanikiwa,nimepata kiasi cha shilingi laki 7. Nataka niingie...
0 Reactions
10 Replies
18K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mbegu ya sungura kwaajili ya kufuga mimi binafsi. Naomba kufahamu na bei ikoje???
1 Reactions
32 Replies
12K Views
Jipatie kipato kwa kutengeneza au kuomba space mahali mfano kkoo au hata njee ya duka la mshikaji wako weka ki friji chako uza juice, smoothies na salad kuliko kukka bure add value mazao ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayeuza Kuku Chotara , siyo vifaranga. mbeya
1 Reactions
1 Replies
5K Views
hello, wandungu na wana jf wenzangu, nina shamba la hekari 20 mkoa wa kilimanjaro ,wilaya ya moshi vijijini kata ya kahe, karibu na shamba la miwa la TPC (walima miwa ya sukari). hivo nataka mtu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ni hivi kuna samaki wanaitwa NGURUKA nahitaji kujua hawa samaki ni aina gani na wanapatikana ziwa, mto au bwawa gani hapa Tanzania.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari za mida ndugu zangu nilikiwa naomba mchanganuo wa tikiti maji kianzia mbegu nzuri ya Arashani FI-kutoka syngenta na duka gan la pembejeo zinauzaje izo mbegu vile vile kwa ecar 1 km tikit...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau wenye uelewa tafadhari naomba kujua bei ya eggs incubator na jinsi ya kuitumia.Nahitaji kuanza ufugaji kuku.Mashine iwe na uwezo wa kutotolesha Mayai 50-100 .Picha ni muhimu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi... Natafuta soko la zao la choroko, nipo Manispaa ya Morogoro. Choroko hizi ni za mwaka huu na ni zile za punje nene,zipo tani 6. Kwa yeyote atakaekuwa interested au ataka eweza...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya wajasiliamali
1.Soda ash
2.Caustic soda
3.Sodium hypochlorite(jik)
4.rose perfume, lavanda, jasmin, lemon
5.Grycelin
6.Acetic acid
7.Acetone<br...
1 Reactions
0 Replies
812 Views
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI Karibuni; Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. Kutengeneza na kuuza tofali Ufundi, Website...
18 Reactions
80 Replies
43K Views
Habari wanajamii, Kwa mda mrefu nimekuwa nikilifuatilia kwa undani jukwaa hili juu ya hoja na ushauri mbalimbali kuhusu kilimo. Ni jukwaa ambalo limenijenga na kunifumbua macho juu ya opportunity...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Hapa kazi tu. Siangalii aina ya kazi, ninachoangalia ni uhalali wa kazi. Kazi yoyote halali nitaifanya ilimradi tu wajibu wangu kama Baba kwa wanangu, kwa mke wangu na wategemezi wangu nautimiza...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…