Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,039
- 2,585
Habari wanajamii,
Kwa mda mrefu nimekuwa nikilifuatilia kwa undani jukwaa hili juu ya hoja na ushauri mbalimbali kuhusu kilimo. Ni jukwaa ambalo limenijenga na kunifumbua macho juu ya opportunity ambazo zipo shamba hilo niliweke wazi. Binafsi shughuli zangu na NGUVU zangu niliwekeza zaidi ktk biashara hususani biashara za bar, ni zaidi ya miaka sita Niko katika hizi biashara lakini sijaona substantial changes ktk maishayangu nikijitahidi sana nikununua usafiri tena usafiri wenyewe gari used ambayo haizidi hata tshs 4.5mil. Nimegundua napoteza muda wangu, hivyo basi nimeamua ni badili maisha yangu na kuyaelekeza kwenye kilimo. Kwa sasa natafuta shamba. Maombiyangu kwenu wakulima ni Haya:-
1) Naomba mniruhusu kutembelea mashamba yenu ili ni fanye feasibility study.
2) Mnisaidie kupata taarifa ya wapi naweza pata mashamba ambapo Maji haitakuwa shida kupata kwa ajili ya umwagiliaji.
Natanguliza shukrani zangu.