Katika harakati zetu Rubaba Media kuelimisha na kushauri wakulima na wafugaji kote nchini, tukishitikiana na Koudijs safari yetu ya hivi karibuni ilitufikisha mkoani Mara — hasa maeneo ya Tarime...
Wakuu,
Sehemu nilipo ardhi yake ni mchanga sana na mazao jamii ya mbogamboga hayastawi kwa sababu ya jua kali na udongo mchanga sana usiokuwa na rutuba.
Ninataka kufanya kilimo biashara kwenye...
Kumekuwa na ufugaji mkubwa wa samaki katika Ziwa Victoria. Kwa takwimu nilizo nazo asilimia 80 ya wananchi wanaozunguka Ziwa Victoria kwa sasa wanatumia samaki hawa wa kufugwa kama chakula chao...
NYANYA ni zao linalopendwa kutumiwa, kunogesha chakula, chakula kilichowekwa NYANYA huwa na radha nzuri inayomvutia mlaji.
Wakulima wengi hutamani kulima zao hili wengi huandika FAIDA na kusahau...
Nimekuwa nikifanya utafiti binafsi kwa kulima aina mbalimbali za mbegu za mahindi na kugundua yafuatayo.
1. ChapaTembo 719
Hii ni mbegu inayochukua muda mrefu kukomaa. Hukomaa baada ya miezi 4...
Naomba msahada wa wadau wanasafirisha mifugo au wanaofahamu wadau wa hizo kazi. Kutumia marolli kutoka mikoni kama singida, mbeya, njombe, moshi mwanza n.k. kuja dar es salaam. Kama kunamtu mwenye...
Wana Jf
Mimi ni kijana mwenye ndoto ya kutaka kushughulika na kilimo cha zao la vanila.
Naomba mwenye uelewa kuhusu eneo linalostahili kilimo hicho, gharama na makadirio ya faida na hasara...
Utangulizi:
Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko...
Wanajamvi habari za majukumu.
Nataka kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa mazao mbali mbali sasa nipo katika kufanya utafiti wa kutafuta pampu nzuri na bora kwaajili ya kazi twaja hapo...
Anza mdogo, lakini anza kwa akili.
Kila hatua unayochukua leo inaweza kubadilisha kesho ya mradi wako wa kuku.
Usifuge kwa kubahatisha tena - Fuga App inakupa taarifa sahihi, ratiba za lishe...
Wafugaji wa kuku
Chukua majumba ya konokono yaunguze kisha uyasage upate unga.
Tumia huo unga kuchanganya na chakula cha kuku wako—ni msaada wa kuongeza calcium kwa kuku. Ni nzuri sana!
Mdharau...
Habarini Wapambanaji
Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea?
Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge...
Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji
Na wasilisha.
N.B 1. kipaumbele...
Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani.
Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
Nimefanya karesearch kangu private kadogo na yafuatayo ni mawazo yangu kuhusu ufugaji wa mbuzi bila kuchungwa.
Nitatumia case ya mbuzi 110 hawa nitawaterm kama "mbuzi wazalishaji" au "parent...
Wewe ni Mfugaji Lakini huwa unasahau Chanjo na Inakusababisha Kuchanja baada ya Ugonjwa Kuingia ,Fuga App inakusaidia kukumbuka Chanjo zako Zote na itakutumia SMS kukumbusha Siku moja kabla na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.