Wakuu naomba msaada kwa mwenye proposal ya kilimo cha matikiti anisaidie, nataka nijilipue huko nna ka capital kangu hapa kama mil 2
NI PM
Natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeguswa na...
habarini wanajukwaa poleni na kazi za kujenga uchumi wa familia zenu.
Nahitaji kujua ni sehemu gani hapa nchini naweza kupata maembe kwa wingi na kwa bei nafuu
nashukuru
Wana jukwaa, nimelima mahindi kwa kumwagilia mkoani Iringa. Je kwa anayejua bei ya sasa kwenye soko. Nimekosea kwenye tittle moderator naomba msaada, nilimaanisha bei na sio bro.
Ndugu zangu nauliza ni sehemu gani morogoro Ambapo unaweza kununua mpunga kwa gharama nafuu kipindi cha uvunaji Na upatikanaji wa maghala kwa ujumla (vijiji gani)
Habari wakuu naomba kama unatotolesha mayai au mwenye kufahamu mahali wanakototolesha mayai manispaa ya Ubungo na maeneo jirani anipm ,au nipe mawasiliano nikutafute.Asanteni
Habari zenu wakuu....
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka isiyofikia 25 na pia ni mzaliwa wa mkoa wa iringa kwa malezi yangu ni dar es salaam
Katika mkoa wa iringa nina shamba LA...
hello JF,
Nimefikiria nikaona,
kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu,
ila,tume base kwenye nafaka peke yake,
kila mtu ukimsikia amejiajiri,ujue ni kilimo cha mahindi,mchele,mtama etc
leo...
Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake.
Ni Tanzania ndio ni Tanzania...
Habari za kazi wakuu? Naomba niende straight kwenye point yangu, nimekua nikifuga kuku wa kienyeji kwa mwaka sasa lakini kuna tatizo nimelipata siku za karibuni baadhi ya kuku wanapasua mayai...
Ndugu Watanzania wote.
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia kilio cha wakulima wa Mbaazi Tanzania kutokana na kuporomoka kwa bei ya mbaazi kwenye soko la dunia. Pia nimefuatilia juhudi za...
Tunaomba mamlaka za kudhibiti dawa wachunguze na kufanyia upekuzi WA Mara kwa Mara kwenye viwanda vya dawa za kuua wadudu (pesticides/insecticides) haswa viwanda vya arusha. Wananchi tunapoteza...
Wadau kuna mtu ameniomba mmsaada wa kujua bei ya Dagaa wa Mwanza kwa hapa Dar kwa bei ya jumla kwa gunia, kama kuna anajua chochote kuhusu biashara hii, share nasi unachojua please...bei na masoko!
Salam wakuu napenda kujua ni Uzi gani unapendwa humu jf na zipi sifa zake kipi kinawavutia wakuu kuchangia?
Je ni zile za wenye majina kama kaka mshana Jr na wengine
Je ni zile za kugegedana...
HAMASA YA WATU KWENYE KILIMO NA UFUGAJI NA JINSI WATU WANAVYO TAPELIWA.
Katika siku za hivi karibuni watu wamejuwa na mwamko sana wa Ujasiriamali hasa kwenye kilimo.
Watu wamekuwa na hamasa ya...