Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu...
Wadau habari za Majukumu, Ningpenda kufahamishwa vilipo viwanda vidogo ama watengenezaji wa vyakula vya mifugo hususani kuku kwa maeneo ya Songea. Nikipata na mawasiliano yao itakuwa vema...
Wakuu hapa kati nilikuja na uzi wa kusema natafuta kuku wa kienyeji wasiochanjwaa....
Niliweza kufanikiwa kununua kuku sehemu tofauti na wengine nilipata kutoka mbeya ila walivyofika...
Kwa wale wote wanaofanya ufugaji pamoja na wanaotaka kufanya ufugaji ww samaki. Sasa vifaranga bora vya kambale aina ya clarias gariepinus wanapatikana kwa bei Rahisi sana.
Nitafte kwa...
Nina haja kwa wale wanaodeal na ujenzi wa mabwawa ya samaki,
Ukijumuisha na uuzaji wa vifaranga, na chakula cha samaki na pia wataalamu wa masoko.
Kama upo katika shughuli hizo usisite kuja PM...
Ndugu Wanajamvi !
Asalaam Aleykum / Bwana Asifiwe / Tumsifu Yesu Kristo.
Mimi ni Mjasiriamali mdogo na nimebahatika kupata eneo la heka 10 lenye udongo mzuri wenye rutuba. Yaani ardhi ni...
Karbu Chuo cha Mifugo Hagafilo upate elimu bora kuhusu Tiba na Uzalishaji wa mifugo kwa ngazi Astashahada(CHETI) Stashahada (DIPLOMA) piga 0762940676 kwa mawasiliano
Wana-JF,
Natafuta matank aina ya IBC. Nataka kununua hivyo naulizia upatikanaji wake na bei zake.
Niko Dar es Salaam. Mwenye kufahamu wapi nitapata haya matank ya IBC aniambie na pia nitayapata...
Wadau assalam,
Nadhani Ijumaat imekaa sawa,
Nauliza dawa kali ya wadudu wanaotambaa kama vile mende, sisimizi,kunguni, chawa na mchwa.
Tafadhali anaejuwa anijuze jina, pia hata zinakopatikana...
Nilikuta uzi hapa wenye kichwa Nawezaje kupata Ng'ombe bora wa maziwa. Nikaacha email yangu kwa mawasiliano na maelezo kuwa nitamsaidia kupata ng'ombe bora kutoka Meru Arusha eneo pekee nchini...
Kufika: Njoo jirani na njia ya kuelekea standi ya daladala ya mawasiliano hapa Ubungo. Ni pm au WhatsApp hii namba 0626641591. Fuga ng'ombe wa maziwa, mahitaji ya maziwa ni makubwa sana mjini...
wanyama wadogo: Kuku Sasso ,Sungura,Bata Mzinga etc. Ni rahisi Kwa Watumie WA kipato kidogo hivyo inaweza kuondoa Umaskini na Kuboresha lishe katika Jammii hasa Watoto!