Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,057
- 1,868
Habar wakulima wenzangu, poleni na majukumu najua wengi mko busy na shughuli za kilimo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya nchi. Shime tupande mazao yanayokomaa kwa muda mfupi na yanayostahimili ukame. Pia tutumie mbegu ambazo ni chotara yaani crossbreed zinakomaa mapema, zinazaa sana, zinavumilia Magonjwa. Nawatakia mapambano mema